16/08/2026
GILBERT MAELO MURUMBA
SITOROBO
MCA ASPIRANT - EAST SANGALO WARD | BUNGOMA COUNTY
2027
SLOGAN HUDUMA BORA, MAENDELEO KWA WOTE
PAMOJA TUJENGE EAST SANGALO
KWA NINI SITOROBO?
Mimi ni mtoto wenu. Nimelelea hapa East Sangalo. Najua shida za Mwibale, Wacheka, Mwikhupo, Dorofu, Kimugui,Khakula, Mechimeru,Sikalam,Lutungu,Watwang'a
Time ya ahadi tupu imeisha. Time ya kazi imefika
MIPANGO YANGU 5 KWA EAST SANGALO
1. BARABARA NA MAJI
- Grade na murram barabara zote za kufika shule na hospitali Wacheka→ hadi kwa shule.
Kona → mwikhupo
Borehole + tanki ya maji kila sub-location. Hakuna kutembea km 2 kutafuta maji Kimugui,Dorofu au kwa masoko.
Taa za barabarani kwa soko la Wacheka, Mwikhupo,Fuchani,Lutungu,Dorofu,Mwibale,Mechimeru,Mutomolo
2. AFYA NA ELIMU
- Dawa na wafanyi kazi zaidi kwa dispensaries zetu
Bursary ya uwazi 100% - Majina yatawekwa kila soko. Hakuna upendeleo
Support ECDE na vifaa kwa shule za Mwibale na Dorofu
- Scholarship kwa watoto yatima na wale waliofnya vizuri shuleni
3. VIJANA NA WANAWAKE
Fund ya vijana kwa boda boda, biashara na kilimo Kimugui na Wacheka
Uwanja wa michezo urekebishwe + tournament kila term
SACCO za kina mama - pesa ya kuanzisha biashara
4. UKULIMA NA MASOKO
- Mbolea na mbegu kwa wakati kwa wakulima wa East Sangalo
- Soko la kisasa Dorofu na Mechimeru na maji na choo
Bei nzuri kwa mahindi na maziwa
5. UONGOZI WA WAZI
Nitatoa ripoti ya pesa za kaunti
- Ofisi ya MCA itafunguliwa kila wiki - Lango langu ni la wote
- Hakuna miradi ya hewa. Kila mradi utakuwa na bango la pesa
AHADI ZANGU ZA SIKU 100 ZA KWANZA
1. Kuanzisha miradi 10 ya maji
2. Kufungua portal ya bursary
3. Kuanza murraming ya barabara za ndani
KURA YAKO NI MAENDELEO YAKO
TUKO PAMOJA. TUTASHINDA PAMOJA.
GILBERT MAELO MURUMBA SITOROBO
Mtumishi wa Watu, Si Bwana
Simu
"Tupatane kwa Ground"
Imetolewa na Team Sitorobo East Sangalo
SISI NDIO SIFUNA NA SIFUNA NDIO SITOROBO