12/02/2026
Sasa vijana wa Isiolo North!
Leo nasimama hapa si k**a kiongozi wa mbali, si k**a mtu wa ahadi tupu — nasimama hapa k**a mmoja wenu. Mimi ni kijana, ninaelewa pressure ya joblessness, ninaelewa frustration ya kuapply kazi bila majibu, ninaelewa talent iko lakini platform hakuna.
Gen Z wa Isiolo tumeitwa majina mengi — “watu wa online,” “watu wa pressure,” lakini ukweli ni huu: sisi ndio generation yenye ideas, creativity, na courage ya kusema ukweli. Tatizo sio sisi. Tatizo ni system ambayo haijatupatia nafasi ya kutosha.
Wakati niliingia kwa youth leadership, nilijiuliza swali moja: Tutakaa tukilalamika ama tutachukua action? Ndiyo maana kupitia youth service tumeanza kuorganize trainings, mentorship, na kuconnect vijana na opportunities. Si perfect, lakini ni mwanzo.
Lakini wacha niseme ukweli — hatutaki symbolic leadership. Hatuwezi kuwa tunaambiwa “vijana ni future” lakini hatuko kwa table ya maamuzi. Future inaanza sasa.
Isiolo North iko na potential kubwa sana. Tuna vijana wenye wanaweza kuwa digital creators, agribusiness innovators, boda boda entrepreneurs, tech freelancers, sports talents, na leaders wa kesho. Lakini tunahitaji:
Skills development ya ukweli
Access to funding bila ukabila wala favoritism
Transparency kwa projects za youth
Platforms za kusikiza sauti ya vijana
Na ndio maana k**a aspirant MP wa Isiolo North, msimamo wangu ni clear:
Youth empowerment isiwe slogan — iwe budget.
Kila ward iwe na structured youth forum ya kusikiza ideas zenu.
Digital opportunities ziletwe huku nyumbani — tusibaki nyuma kwa tech na online economy.
Talent support programs ziwe open na fair.
Na kuhusu Linda Gen Z na movement za vijana — message yangu ni moja: hatuko hapa kushindana, tuko hapa kushirikiana. Youth unity ndio nguvu yetu. Hakuna maendeleo bila sisi kuwa pamoja.
Vijana, leadership sio kupiga kelele tu. Ni vision, consistency, na courage ya kusimama hata wakati si rahisi. Mimi niko tayari kusimama na nyinyi, si kwa maneno tu bali kwa action.
Lakini kumbuke