SIR K

SIR K politics and football

20/06/2025

Liverpool na man city Wacha tu next season watalete kasheshe

20/06/2025

Morning all

13/05/2025

Hii nayo ni ngani ATI mwaka huu hakuna mitiani ya shule kwa watoto wetu?? serekali Haina pesa ya kuifadhi mitiani

13/05/2025

Vijana kesho saa 7:30am pitieni sokoni mwangalie job

12/04/2025

Hooo nimetengeneza barabara sijui yakutoka sijui wapi kwenda wapi nimechimba kisima kikelelwa ya 3m ninatengeneza soko ya endarala ya 20 m ,,,🤣🤣🤣hao wapi hizo vitu unaenda ukidanganya watu????hakuna hata Moja ww mca umefanya urongo mtupu but nashukuru mungu kwa maana 2027 kabla ujatuomba kura utatwambia wakati tulikupa kura ulifanya nini na kabla ya mambo yote nitasunguka ward mzima nikipiga picha so hakuna mahali utatudanganya

Address

Kajiado County
Kajiado

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIR K posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share