Abdulkadir Dekow For Nyali Mp,

Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, Abdilkadir Dekow is a Kenyan businessman and community leader vying for the Nyali mp Seat

12/08/2026

Kuna changamoto nyingi ambazo Nyali inapitia. Miongoni mwa hizo na suala na dini.
Natumbua na kuheshimu dini zote na ndio maana nafanya vikao na waumini wa kila di I Kuna changamoto zao maana hazifanani.


12/08/2026

Uongozi unaotoka kwa wananchi. Pendkezo la wakazi wa Nyali ni Dekow.

11/08/2026

Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, ameendelea kudhihirisha umaarufu wake haswa eneo la Bombolulu baada ya miungano ya bodaboda kuonyesha kumuunga mkono mbunge mtakiwa wa Nyali Dekow huku wakimtuma kuwawakilisha bunge katika maswala kadha wa kadha.
Pia wamemtaka Dekow pia awafikishie Salam zao kwa rais William Ruto kwa ujenzi wa Barabara unaondelea eneo hili huku wakiitisha mafunzo zaidi kwa sababu ya usalama wao k**a madereva.
Msemo wao bi mmoja
.
Naahidi kuzidi kuwasgika mkono katika safari ya uongozi.


Soko la Kongewea ni kitovu Cha biashara afrika mashariki na ya kati. Uwepo wake katika eneo bunge la Nyali ni baraka kwa...
11/08/2026

Soko la Kongewea ni kitovu Cha biashara afrika mashariki na ya kati. Uwepo wake katika eneo bunge la Nyali ni baraka kwa wakaazi wa Nyali lakini iwapo tu mambo muhimu ya soko Hilo yataangaziwa.
Changamoto ya taka katika soko Hilo imekuwa donda SUGU na kulemaza shughuli katika soko Hilo.
Kila ninappzuru soko Hilo changamoto hazikosi kujitokeza katika vikao vyetu ila naamini vikao hivi na wafanyiviashara na washikadau wa soko hili vimeanza kuzaa matunda.asante wanabidhara wa KONGOWEA.


Sekta ya bodada ni moja wapo ya sekta muhimu zinazochangia pakubwa uchumi wa eneo bunge la Nyali. Changamoto wanazopitia...
11/08/2026

Sekta ya bodada ni moja wapo ya sekta muhimu zinazochangia pakubwa uchumi wa eneo bunge la Nyali.
Changamoto wanazopitia haziwezi kufumbiwa macho na badala yake lazma zitatuliwe kadri ya uwezo tulio nao.
Miongoni mwa dukuduku lao ni pale inapofika kila tarehe 15 ya kila mwezi wakisubiri kuona Bei za mafuta.
Ndiposa niliweza kutenga mda na wanaboda boda wa stage ya Links Road.


03/08/2026

Mheshimiwa Abdikadir Dekow ameendelea kudhihirisha uongozi wa vitendo kwa kuhudhuria k**a Mgeni Rasmi katika Mahafali na Hafla ya Ugawaji wa Tuzo ya Madrassatul Marhaba Al-Islaamiyyah, Freretown Ward


Hon. Abdikadir Dekow once again graced the Marhaba Grounds as the Chief Guest at the Annual Graduation and Prize Giving ...
03/08/2026

Hon. Abdikadir Dekow once again graced the Marhaba Grounds as the Chief Guest at the Annual Graduation and Prize Giving Ceremony of Madrassatul Marhaba Al-Islaamiyyah, Freretown Ward, Bakarani.

Having been a key supporter of the event, Hon. Dekow encouraged learners to pursue excellence through discipline, hard work, and the fear of Allah. He also urged parents to remain steadfast in nurturing children with strong moral and Islamic values, reminding them that Allah guides, protects, and elevates those who sincerely submit to Him.

The warm reception from the Marhaba community reflected the deep appreciation they have for his consistent commitment to their welfare. In just one week, Hon. Dekow has left a lasting impact at the same venue, first by installing new goalposts and donating training kits to local youth, and now by celebrating and inspiring the next generation through education.

His actions continue to demonstrate a leadership founded on service, empowerment, and community development.



As a proud and unwavering member of the United Democratic Alliance (UDA), I wish to reaffirm my absolute loyalty to our ...
31/07/2026

As a proud and unwavering member of the United Democratic Alliance (UDA), I wish to reaffirm my absolute loyalty to our great party, its leadership, and the vision that continues to transform Kenya through the Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA). My support for President William Ruto is firm and unquestionable because I believe in consistent, principled leadership that puts the interests of ordinary Kenyans first.
At a time when some political aspirants appear uncertain about where they stand or who they support, my position remains clear. I am a true and dedicated UDA member, and I will continue championing the party's ideals while working hand in hand with its leadership to advance development, create opportunities for our youth, empower women and entrepreneurs, and deliver meaningful progress for the people of Nyali and Kenya at large.
To the people of Nyali and all Kenyans, I urge you to remain calm, united, and hopeful. The journey of transformation is ongoing, and better days lie ahead. Together, under the leadership of President William Ruto and the UDA Party, we shall build a stronger, more prosperous, and inclusive Kenya for generations to Hon. Abdikadir Dekow
Nyali Parliamentary Aspirant

Shukran za dhati kwa Kamati, Walimu, Wanafunzi na Wazazi wa Madrassatul Marhaba Al-Islaamiyyah kwa kuamini uongozi wangu...
29/07/2026

Shukran za dhati kwa Kamati, Walimu, Wanafunzi na Wazazi wa Madrassatul Marhaba Al-Islaamiyyah kwa kuamini uongozi wangu na kunishabihisha na shughuli hii muhimu kwa maisha ya watoto wetu wa Nyali itakayohusisha utoaji wa tuzo na shahada kwa wanafunzi wetu. inshaAllah.

๐Ÿ“… Siku: Jumapili, 2 Agosti 2026
๐Ÿ•— Muda: Kuanzia saa 8:00 asubuhi
๐Ÿ“ Mahali: Uwanja wa Marahaba, Bakarani

Ni faraja kuwajulisha kuwa Mgeni wa Heshima na Mfadhili Mkuu wa hafla hii atakuwa *Mheshimiwa Abdikadir Dekow Hussein*, Mbunge mtarajiwa wa Nyali.

Tujumuike pamoja kusherehekea mafanikio ya watoto wetu, kuwatia moyo katika elimu, na kuendelea kuwajenga kiimani na kimaadili kwa ajili ya mustakabali ulio bora.

Kuhudhuria kwenu ni heshima na furaha kubwa kwetu sote.

Karibuni sana!





29/07/2026

Kuna vipaji vingi na talanta Nyali ambavyo havijapata kutambuliwa kutana na uongozi mbaya. Tumeanza mchakato wakuvitambua na kuweka records za vijana wanaojihusisha na michezo kadha wa kadha ili kuona vipi tutawaboresha kupitia vifaa na hata kupata wafadhili. Hii kwasababu mimi kiongozi wenu Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, natambua changamoto zinazopelekea baadhi ya ndoto hizi kuzima nankukosa kuendelea. Jiunge na vuguvugu la ufaidike zaidi.


Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share