Tosh Dagoretti South Mp 2027

Tosh Dagoretti South Mp 2027 Edward Muiru Mwaura (Tosh) | Aspiring MP Dagoretti South 2027

27/07/2026

Walisema viongozi hawapatikani. Mimi nasema kiongozi wako anafaa awe DM moja tu mbali.

si slogan. Ni kazi kwa ground.

Bura, kijana wa Dagoretti South, alinifikia akiwa na shida mbili:

• Anataka opportunity ya kazi.
• Pikipiki yake ilishikiliwa na polisi, ambayo ndiyo source yake ya income.

Nilimwambia ukweli. Green Army applications zimefungwa kwa sasa. Hakuna siasa. Hakuna promises za uongo.

Lakini hapo ndiyo leadership inaanza.

Nikaomba details za pikipiki yake ili tuone namna tunaweza kusaidia. Kwa sababu kwa kijana wa Dagoretti South, pikipiki si luxury. Ni biashara. Ni rent. Ni school fees. Ni maisha.

Viongozi wengi wanaamini leadership ni kukata ribbons na kupiga picha.

Sisi tunaamini leadership ni kusimama na watu wetu hata kwa vitu ambavyo wengine wanaona ni “vidogo.”

Kwa sababu hakuna shida ya kijana ambayo ni ndogo.

Youth First Agenda Means:

• Kijana akitafuta kazi, tunamsikiliza.
• Kijana akipoteza source yake ya income, tunasimama naye.
• Kijana akiwa na idea, tunampa platform.
• Kijana akituma message, anapata response.

Government Must Deliver. Leadership Must Show Up.

Dagoretti South ina maelfu ya vijana wenye ndoto kubwa lakini opportunities ndogo. Hiyo ndiyo tunataka kubadilisha.

Jiunge na Movement:

• Share post hii na kijana mmoja wa Dagoretti South.
• K**a wewe ni mentor, biashara owner au community leader, tushirikiane kujenga opportunities kwa vijana.
• Jiunge na Digital Army na uwe sehemu ya movement hii. +254707702561

Dagoretti South Lazima Ishine! 🔥

Hatujengi campaign. Tunajenga movement. Hatuwatafuti voters. Tunajenga future ya Dagoretti South.

19/07/2026

Wanasema siasa ni speeches na handshakes. Mimi nasema uongozi ni kujitokeza wakati vijana wanakuhitaji. 💯

🔥 YOUTH FIRST AGENDA

Hii si slogan. Hii ni commitment.

Mykoh ni msanii kutoka Kangemi. Ana talent. Ana ndoto. Ana kila kitu kinachohitajika kupata ID.

Lakini system imemzungusha.

Email imepotea. Verification imekwama. Kila siku ni:

“Rudi kesho.”

Hiyo ndiyo Goliath tunapigana nayo.

Wakati wengine wako busy na convoys, photo ops na siasa za maneno, vijana wetu wanazuiliwa na mfumo.

❌ Hawafungui bank account
❌ Hawapati opportunities
❌ Hawawezi kusonga mbele

Mykoh aliponifikia, sikumpa speech.

Nilimwambia:

“Tuma details. Tupange siku. Twende pamoja.”

Hiyo ndiyo tofauti.

🔹 Wao wanakaa office ukihangaika.
🔹 Sisi tunatembea na wewe mpaka shida iishe.

Kwa wengine hii inaweza kuonekana ndogo.

Lakini kwangu:

Leadership si title. Leadership ni service.

K**a kijana wa Dagoretti South hawezi kupata ID yake, basi bado tuna kazi ya kufanya.

✊ YOUTH FIRST AGENDA IN ACTION

✅ Your ID, Your Right
Hakuna kijana anafaa kuzuiwa na bureaucracy.

✅ Your Talent, Your Power
Talent ya vijana isikwamishwe na system.

✅ Your Struggle, Our Struggle
Hatutakutazama ukiwa mbali. Tutasimama na wewe.



🔥 DAGORETTI SOUTH LAZIMA ISHINE

K**a unaamini vijana wanastahili opportunities badala ya excuses:

1️⃣ Share post hii na tag kijana mmoja anayestahili kusikika.
2️⃣ K**a wewe ni artist, mentor, youth leader ama community mobilizer, DM tuunganishe nguvu.
3️⃣ Jiunge na movement ya vijana wanaotaka matokeo, si ahadi.

Goliath ana bureaucracy. Sisi tuna watu.

📲 WhatsApp: 0707 702561

👇 Sema ukweli:

Ni huduma gani ya serikali imewahi kukuzungusha zaidi k**a kijana?

17/07/2026

📸 “Walisema niweke picha yangu. Lakini Dagoretti South inahitaji picha yangu kweli, ama picha ya future yetu?”

The blueprint iko ready. Plan iko clear. Time ni sasa. 🔥📋

Kuna msee aliniambia:

“Tosh, weka picha yako kwa poster.”

Nikacheka nikamwambia:

“Picha yangu iko hapo boss!” 😂

Lakini nikafikiria zaidi.

Campaign hii si kuhusu sura yangu.

Ni kuhusu sura ya Dagoretti South tunataka kuona miaka ijayo.

🏗️ Dagoretti South yenye:

✅ Vijana wanapata kazi na opportunities.
✅ Barabara zetu hazigeuki swimming pools kila mvua ikinyesha.
✅ Watoto wanapata elimu bora.
✅ Hospitali zinatibu watu bila kuwafukarisha.
✅ Kila estate iko salama mchana na usiku.

Hiyo ndiyo picha tunachora pamoja.

Wao wanataka tuone politician.

Sisi tunataka tuone maendeleo.

Wao wanapigania seats.

Sisi tunapigania future.

Wao wanaona campaign.

Sisi tunaona movement. 🚀

🔥

✅ Jobs & Opportunities
✅ Better Roads & Estates
✅ Quality Education
✅ Affordable Healthcare
✅ Security & Community Development

Hizi si promises.

Hii ni contract kati ya leadership na wananchi.

Gava lazima ideliver, si kupromise pekee.



🤝 How You Can Join The Movement

📲 Join the Digital Army:
WhatsApp: +254 707 702 561

📢 Support the Movement:
Like, share na tag mtu anajua Dagoretti South deserves better.

🤝 Partner With Us:
Mentors, professionals, biashara owners, youth leaders—tujenge pamoja.

💪 Invest In The Vision:
Support youth programs, civic engagement na community outreach initiatives.



Dagoretti South haijengwi na mtu mmoja.

Inajengwa na sisi wote.

Swali ni moja tu:

👉 Ukipata chance ya kubadilisha kitu kimoja Dagoretti South kesho, ungeanza na nini?

Dagoretti South Lazima Ishine. 🔥

14/07/2026

🔥 Wasee wa Dagoretti South, siasa si race ya mtu mmoja. Ni movement. Ni sisi.

Juzi nilipost nikisema youth lazima wachukue usukani wa leadership. Nikatoa challenge kwa system.

Alafu kitu poa ikafanyika. 👇

Maw Jee, ambaye anawania MCA Ng’ando Ward, alisema:

“Tushikane tufanye hii pamoja.”

Hapo ndio nilijua movement imeanza. 💯

Wengine wanaamini siasa ni:
❌ Convoy kubwa
❌ Pesa mingi
❌ Kushindana na vijana wenzako

Sisi tunaamini:
✅ Umoja
✅ Action
✅ Kujenga Dagoretti pamoja

Wengine wanataka tuoneane wivu.

Lakini ukweli ni huu:

Maw Jee sio competitor wangu.
Competitor wetu ni system ambayo imewaangusha vijana kwa miaka mingi.

Nikamjibu hivi:

“Si juu yangu. Si juu yako. Ni juu yetu.”

Na hiyo ndio spirit ya .

Ng’ando iko ndani. 🔥
Riruta iko ndani. 🔥
Mutuini iko ndani. 🔥
Waithaka iko ndani. 🔥
Uthiru/Ruthimitu iko ndani. 🔥

Tunajenga movement ya vijana ambao wamechoka kusubiri opportunities na maendeleo.

🎯 Youth First Agenda

✅ Youth leadership, sio youth waiting

✅ Collaboration, sio competition

✅ Action, sio promises za campaign

✅ Opportunities, sio excuses

Dagoretti South ikishine, sisi wote tunashine.

K**a unaamini vijana tunaweza kuongoza tofauti, support movement hii.

📲 Share post hii. 0707 702561

🤝 K**a wewe ni youth leader, content creator, mobilizer ama community champion kwa ward yako, DM tushirikiane.

🔥 Dagoretti South Lazima Ishine.

12/07/2026

🔥 HABARI NI YETU! 💪🏾

Leo kuna kijana wa Dagoretti South alinidrop DM:

“Habari yako our MP! 💯🔥”

Nikajibu:

“Habari ni YETU!”

Na hapo ndipo tofauti yetu inaanzia.

Sihitaji kiti ndio niheshimu watu. Uongozi si title. Uongozi ni kuskiza, kutembea na watu, na kutatua shida zao.

si campaign. Ni movement.

Movement ya vijana ambao wamechoka na:
❌ Ahadi kila uchaguzi.
❌ Ukosefu wa kazi.
❌ Barabara mbovu.
❌ Vijiji zenye giza na insecurity.
❌ Viongozi wanaonekana uchaguzi pekee.

Sasa ni wakati wa sisi kujenga Dagoretti South yetu.

Tunasimamia nini?

✅ KAZI KWA VIJANA – Skills, biashara na opportunities.

✅ BARABARA NA ESTATES BORA – Roads, drainage na street lights.

✅ ELIMU YA KISASA – Scholarships, digital skills na quality schools.

✅ AFYA BORA – Healthcare inayofikia kila familia.

✅ USALAMA WA MTAA – Estates salama na community yenye umoja.

Sio maneno.

Government Must Deliver.

Na sisi ndio tutahakikisha.

K**a unaamini Dagoretti South inaweza kuwa bora zaidi:

👍 Like
🔁 Share
💬 Comment “HABARI NI YETU”

Tuwaonyeshe kuwa vijana wa Dagoretti South si watazamaji tena.

Sisi ndio movement.
Sisi ndio future.
Sisi ndio .

📲 Jiunge na WhatsApp Movement: https://chat.whatsapp.com/LdM3UXEUNMP5AxAtikT5ck

🤝 Unataka kushirikiana au kujitolea?
DM au WhatsApp:

0707 702561

HABARI NI YETU! TUSHIKAMANE! 🔥🇰🇪


10/07/2026

🔥 GAVA YA TOSH | THE MODERN DAVID

Wanasema vijana ni viongozi wa kesho… Lakini mbona kesho ifike na tunaumia leo? 🤔

Kesho ni SAA HII.

Dagoretti South imechoka na siasa za promises. Tumekuwa tukingoja maendeleo, tukingoja jobs, tukingoja viongozi watukumbuke.

Sasa ni zamu yetu.

Hii si manifesto ya kawaida.

Hii ni BLUEPRINT ya Gava Ya Tosh. 📋🔥

💼 KAZI KWA VIJANA

Hakuna kijana anafaa amalize shule akae home bila hope.

✔️ Jobs
✔️ Youth biashara fund
✔️ Digital skills
✔️ Innovation hubs

Kazi si favour. Ni haki yetu.



🛣️ TENGENEZA DAGORETTI

Roads zetu, drainage na street lights lazima zifanye kazi.

Mtaa safi.
Mtaa salama.
Mtaa yenye biashara inakua.



📚 ELIMU BORA

Scholarships.

Digital learning.

TVET support.

Hakuna mtoto wa Dagoretti anafaa kubaki nyuma kwa sababu ya pesa.



🏥 AFYA KWANZA

Hospitali zetu zipate dawa.

Mental health support.

Healthcare yenye inapatikana kwa kila familia.



🛡️ MTAA SALAMA

Street lights.

Community policing.

Sports grounds badala ya crime grounds.



💯 TUMECHOKA NA…

❌ Empty promises

❌ Politics kila election

❌ Leaders wanaonekana baada ya miaka tano

Tunataka…

✅ Results

✅ Accountability

✅ Delivery



GAVA YA TOSH NI KUHUSU…

👉 Serikali ifanye kazi.

👉 Vijana wapate opportunities.

👉 Hustlers wakue.

👉 Dagoretti South ishine tena.



MIMI NI TOSH.

Siko hapa kuahidi.

Niko hapa kutekeleza.

Government Must Deliver.

Si ombi.

Ni haki yetu.



🔥 UKO READY?

✅ Share hii message.

✅ Join movement.

✅ Invite marafiki.

✅ Tujenge Dagoretti South pamoja.

📲 Join https://chat.whatsapp.com/LdM3UXEUNMP5AxAtikT5ck













“Hatutangoja kesho. Tunajenga leo.” 🇰🇪💙

🔥 GAVA YA TOSH | THE MODERN DAVIDWanasema vijana ni viongozi wa kesho… Lakini mbona kesho ifike na tunaumia leo? 🤔Kesho ...
10/07/2026

🔥 GAVA YA TOSH | THE MODERN DAVID

Wanasema vijana ni viongozi wa kesho… Lakini mbona kesho ifike na tunaumia leo? 🤔

Kesho ni SAA HII.

Dagoretti South imechoka na siasa za promises. Tumekuwa tukingoja maendeleo, tukingoja jobs, tukingoja viongozi watukumbuke.

Sasa ni zamu yetu.

Hii si manifesto ya kawaida.

Hii ni BLUEPRINT ya Gava Ya Tosh. 📋🔥

💼 KAZI KWA VIJANA

Hakuna kijana anafaa amalize shule akae home bila hope.

✔️ Jobs
✔️ Youth biashara fund
✔️ Digital skills
✔️ Innovation hubs

Kazi si favour. Ni haki yetu.



🛣️ TENGENEZA DAGORETTI

Roads zetu, drainage na street lights lazima zifanye kazi.

Mtaa safi.
Mtaa salama.
Mtaa yenye biashara inakua.



📚 ELIMU BORA

Scholarships.

Digital learning.

TVET support.

Hakuna mtoto wa Dagoretti anafaa kubaki nyuma kwa sababu ya pesa.



🏥 AFYA KWANZA

Hospitali zetu zipate dawa.

Mental health support.

Healthcare yenye inapatikana kwa kila familia.



🛡️ MTAA SALAMA

Street lights.

Community policing.

Sports grounds badala ya crime grounds.



💯 TUMECHOKA NA…

❌ Empty promises

❌ Politics kila election

❌ Leaders wanaonekana baada ya miaka tano

Tunataka…

✅ Results

✅ Accountability

✅ Delivery



GAVA YA TOSH NI KUHUSU…

👉 Serikali ifanye kazi.

👉 Vijana wapate opportunities.

👉 Hustlers wakue.

👉 Dagoretti South ishine tena.



MIMI NI TOSH.

Siko hapa kuahidi.

Niko hapa kutekeleza.

Government Must Deliver.

Si ombi.

Ni haki yetu.



🔥 UKO READY?

✅ Share hii message.

✅ Join movement.

✅ Invite marafiki.

✅ Tujenge Dagoretti South pamoja.

📲 Join













“Hatutangoja kesho. Tunajenga leo.” 🇰🇪💙

07/07/2026

🚨 THEY FOUGHT FOR DEMOCRACY… SO WHY ARE WE STILL BEGGING FOR SERVICE?

Government lazima ideliver, si kutupatia story. ✊🏾🔥





Leo ni Saba Saba. 🇰🇪

Sio tu siku . Sio tu hashtag.

Ni siku ya kukumbuka Wakenya waliopigania haki yetu ya kuongea, kukutana, na kuchagua viongozi bila woga.

Walikabiliana na teargas. Walik**atwa. Walisimama kidete ili sisi leo tuwe na sauti.

Lakini swali ni hili…

Je, tulishinda kweli?

Ndiyo, tuna uchaguzi.

Ndiyo, tuna kura.

Lakini Dagoretti South imepata nini?

❌ Barabara mbovu.
❌ Mitaro imejaa.
❌ Vijana hawana kazi.
❌ Vipaji vinaangamia.
❌ Ahadi kila campaign… halafu kimya mpaka election nyingine.

Tatizo si kwamba hatupigi kura.

Tatizo ni kwamba tumekuwa tukichagua viongozi wanaahidi sana lakini hawadeliver.

Democracy haimaanishi kupiga kura pekee.

Democracy inamaanisha serikali kufanya kazi kwa wananchi.

Hiyo ndiyo maana nasema:

👉 Serikali lazima ideliver, si kuahidi.

Huo ndio mkataba wangu na Dagoretti South.

Sio politics za maneno.

Ni politics za matokeo.

✅ Vijana wapate opportunities.
✅ Barabara zitengenezwe.
✅ Accountability iwe kawaida, sio favour.
✅ Kila estate isikizwe.
✅ Kila shilling ya umma ihesabiwe.

Kwa sababu wananchi hawahitaji motivational speaker.

Wanahitaji mtumishi.

Saba Saba haijaisha.

Mapambano yamebadilika.

Kutoka kupigania democracy…

➡️ Sasa tunapigania delivery.

Na hapo ndipo inaanzia.



K**a unaamini Dagoretti South inaweza kuwa bora:

❤️ Like hii post.
📲 Share kwa WhatsApp groups za estate.
💬 Comment:

“Government Must Deliver.”

Tuonyeshe viongozi wa sasa kwamba kizazi hiki hakikubali ahadi tupu tena.

Mimi ni Tosh.

Siasa yangu ni Accountability.

Uongozi wangu ni Results.

Mission yetu ni Gava Ya Tosh.

Government Must Deliver — Not Promise. 🇰🇪✊🏾

05/07/2026

🚲 THE MODERN DAVID

Wanasema wasee wa base ni shida. Lakini k**a ndio hawa ndio viongozi wa kesho? 👀🔥




Hii ndio Dagoretti South nataka kuona. 💪🏾📱

Leo nilipata message kutoka kwa Madola.

Madola ni rider. Ni hustler. Ni kijana anajulikana kwa mtaa. Anaamka kila siku kutafuta yake.

Aliniambia kitu rahisi:

“Tosh, nikona nguvu ya kusaidia campaign. Nikipata kazi siku ya uchaguzi nitashukuru.”

Hapo ndipo tofauti inaanza.

Wengine huona vijana k**a Madola k**a watu wa kutumiwa wakati wa campaign halafu kusahaulika.

Mimi naona tofauti.

Naona leader.
Naona network builder.
Naona mtu anajua ground kuliko wengi wetu.

Dagoretti South haitabadilishwa na speeches pekee.

Itabadilishwa na vijana wanaoishi reality ya mtaa kila siku.

si movement ya viongozi peke yao.

Ni movement ya:

• Riders 🚲
• Fundis 🔧
• Mama mboga 🥬
• Artists 🎤
• Ballers ⚽
•Pool table players 🎱
• Creators 📱
• Small business owners 🛒
• Kila hustler wa Dagoretti South.

Serikali haifai kuja wakati wa campaign pekee.

Government must deliver — not promise.

Tunataka kuona:

✅ Training za digital skills na biashara.

✅ Support kwa riders na boda boda.

✅ Sports na talent zikue biashara.

✅ Jobs kupitia partnerships na private sector.

✅ Vijana wakikaa kwa meza ya maamuzi, sio nje ya mlango.

Madola si “number ya kura.”

Ni sehemu ya safari.

Na kila kijana wa Dagoretti South ana nafasi kwa hii movement.

K**a unaamini Dagoretti South inaweza kuwa tofauti:

❤️ Like post hii.

🔄 Share kwa group yako.

💬 Comment:

“Gava Ya Tosh.”

Tuonyeshe vijana wakisimama pamoja hakuna kitu hakiwezekani.

Tukijenga pamoja, tunashinda pamoja. 🚲🔥

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tosh Dagoretti South Mp 2027 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share