01/08/2026
Wasee wa Kaptembwo, ndoto yangu si kuwapea promises tu, ni kuifanya Kaptembwo iwe Ward of Job Creators. Sitaki vijana wetu wakae base wakingoja kazi; nataka wawe ndio wanacreate jobs kwa wengine. Tutainvest kwa skills, vocational training, digital opportunities, biashara ndogo ndogo, na talent zetu ili kila kijana mwenye ako na idea ama kipaji apate support ya kukua.
Tutafungua doors za mentorship, partnerships na investors, tusukume access ya biashara funds, na tuhakikishe county opportunities zinafikia vijana wa Kaptembwo. Tukigeuza talent kuwa biashara na ideas kuwa companies, tutapunguza ukosefu wa ajira na kuongeza uchumi wa mtaa wetu. Vision yangu ni Kaptembwo yenye kila mtaa iko na entrepreneurs, innovators na employersโnot job seekers. 2027, tuchange story. Kaptembwo iwe kweli Ward of Job Creators! ๐ช๐ฐ๐ช๐ฅ