23/07/2026
Kiwete aliyekuwa Katika Mlango akiomba Pesa, Petro Akamjibu Sina Fedha Wala Dhahabu Bali nilichonacho ndicho nitakupa. Amka na Utembee akapona.
Joshua Mbayai Hana Pesa Wala Mali Ila Ako na Hekima ya Uongozi na Maono kwa Watu wa Mahoo Ward na Ndicho atapeana. Haki ,Usawa kwa wote Bila Ubaguzi wa Kabila.
Chagua Kiongozi Bora kwa Maisha Bora
Joshua Tano Fresh.