01/09/2026
In 2022, Olena made a life-changing decision: she brought her son Andrii home from a residential institution in the occupied Ukrainian city of Kherson, just before access routes changed for years. π»
π Nearly 300 other residents were taken away from the place they called home. Their families are still searching for information about what happened and where they are today.
π This investigation shares the stories behind the numbers, and the people working to preserve the truth.
Discover more: https://www.eeas.europa.eu/delegations/kenya/one-son-brought-home-hundreds-missing_en?s=352
Mwaka 2022, Olena alifanya uamuzi uliobadilisha maisha yake: alimleta mwanawe Andrii nyumbani kutoka katika taasisi ya malezi katika jiji la Kherson, Ukraine, lililokuwa limekaliwa, muda mfupi kabla ya njia za kufikia eneo hilo kubadilika na kubaki zimefungwa kwa miaka kadhaa. π»
π Takribani wakazi wengine 300 waliondolewa kutoka mahali walipopaaita nyumbani. Familia zao bado zinatafuta taarifa kuhusu kilichowapata na walipo leo.
π Uchunguzi huu unasimulia hadithi zilizo nyuma ya takwimu hizo, pamoja na watu wanaofanya kazi kuhakikisha ukweli unahifadhiwa.
Gundua zaidi: https://www.eeas.europa.eu/delegations/kenya/one-son-brought-home-hundreds-missing_en?s=352