10/07/2026
…taarifa ya kwanza isiyo rasmi, inadai kwamba aliuawa…
Taarifa ya pili isiyo rasmi, inadai kwamba ana majeraha makubwa, hasa sehemu za usoni…
Taarifa ya tatu, isiyo rasmi, inadai kwamba ametengwa na utawala mpya wa Iran 🇮🇷, ndiyo maana hajahudhuria mazishi ya baba yake…
👉🏾 Taarifa “rasmi” kutoka utawala
huo mpya, inasema kwamba hakutakiwa kuhudhuria mazishi hayo kwa sababu za kiusalama… 🤷🏾
👉🏾 Waandishi wa habari kutoka Ukimani wamejazana huko Iran 🇮🇷, lakini hakuna wanachokifanya zaidi ya kupiga picha na wanawake wa Iran 🇮🇷, madukani...
👉🏾 Hakuna hata mmoja anayedadisi au kuchunguza kuhusu ukweli wa hali ya huyu mheshimiwa...
👉🏾 Itoshe tu kusema ya kwamba Ukimani mna waandishi wa habari kanjanja na takataka!… 🚮🚮🚮
Usisahau kunifollow Kwa kugusa Link hii 👇👇
https://www.facebook.com/profile.php?id=61590624909659