24/07/2026
Miongozo ya Kutafsiri na Kuombea NDOTO Kibiblia kitabu cha 1,2,3 na 4.
Kitabu kimoja shs 10,000
Vinapatikana ofisi ya Dar es salam jengo la Luther House ghorofa ya 3 (Kanisa la Azania Front) 0742 525225
Arusha ofisi ya mjini karibu na ofisi za Tanesco 0736 501081.
Kwa wanaohitaji kitabu hiki nje ya mikoa ya Arusha na Dar es salaam,piga simu 0736 501081.
Mungu awabariki sana!