17/08/2026
π TABLE TENNIS DEVELOPMENT PROGRAM β WETE DISTRICT π
Afisi ya Michezo Wilaya ya Chake Chake kwa kushirikiana na Zanzibar Table Tennis Association (ZTTA) inaendelea na juhudi za kuendeleza na kuutangaza mchezo wa mpira wa meza (Table Tennis) katika Wilaya ya Wete.
Katika kuendeleza mpango huu, Semina ya Table Tennis Development Program inatarajiwa kufanyika:
π
Jumamosi, 22 Agosti 2026
β° Saa 2:00 asubuhi (8:00 AM)
π Chasasa Secondary School β Wete
π― Malengo ya programu ni pamoja na:
β
Kuendeleza ujuzi wa mchezo wa Table Tennis
β
Kubaini na kukuza vipaji vya vijana
β
Kuimarisha utimamu wa mwili
β
Kujenga nidhamu na ushirikiano miongoni mwa vijana
β
Kuwapa vijana fursa ya mashindano na uzoefu wa kiushindani
π¦π½π§π½ Wavulana na wasichana kutoka shule teula watapatiwa mafunzo juu ya mchezo wa mpira wa meza.
π€ Tushirikiane kuijenga kesho ya Table Tennis katika Wilaya ya Wete!
BUILDING SKILLS. BUILDING CHARACTER. BUILDING CHAMPIONS. ππ