Lugoba Secondary School

Lugoba Secondary School This page created purposely for providing Information to all Stake holders related to Lugoba Secondary School

09/04/2022
SILOAM FOR blind korea sherehe ndogo baada ya zoom meeting
28/06/2021

SILOAM FOR blind korea
sherehe ndogo baada ya zoom meeting

OLD Class of Lugoba secPia yana Historia nzuriKaribu upate historia yake
24/06/2021

OLD Class of Lugoba sec
Pia yana Historia nzuri
Karibu upate historia yake

29/06/2020

WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA LEO WANAANZA RASMI MITIHANI YAO YA KUMALIZA KIDATO CJA SITA
TUNAWATALIA KILA RAHELI NA MUNGU AWAPE WEPESI WAKUMBUKE VIZURI YOTE WALIOJIFUNZA KWA KIPINDI CHOTE WAKIWA SHULENI
@ STAFF LUGOBA

DIGITAL SCHOOL
27/06/2020

DIGITAL SCHOOL

" TO CREATE A CONDUSIVE ENVIRONMENT WHERE TEACHERS AND STUDENTS USE ICT TO ENHANCE THEIR COMPITENCE

26/06/2020
Mkurugenzi wa Mafunzo ya Mtandao kutoka Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT) ya Chuo Kikuu cha Dar es Sa...
26/06/2020

Mkurugenzi wa Mafunzo ya Mtandao kutoka Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Joel S. Mtebe(Katikati), akitoa maelekezo namna mfumo mpya wa kujifunzia kupitia njia ya mtandao unavyofanya kazi kwa Msimamizi wa Komputa wa Shule ya Sekondari Lugoba iliyoko Chalinze, Webber Mhenga, Mfumo huo ambao uko kwenye majaribio unafuata mtaala wa kufindishia wa Tanzania na utawawezesha wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Hisabati kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kujifunza kupitia njia zilizoboreshwa zaidi. Pamoja nao katika picha ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Halotel Mhina S. Semwenda.

Address

Lugoba Dispensary Chalinze
Chalinze
BOX81

Opening Hours

09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugoba Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Lugoba Secondary School:

Share