mti pesa group

mti pesa group "mti pesa group ni kikundi Cha kijamii, tunapatikana mdaula, CHALINZE mkoa wa PWANI...

Wana mti pesa siku ya ijumaa tarehe 11/4/2025 tulitembelea zahanati ya mdaula, tulipata wasaa wa kufanya usafi eneo lote...
14/04/2025

Wana mti pesa siku ya ijumaa tarehe 11/4/2025 tulitembelea zahanati ya mdaula, tulipata wasaa wa kufanya usafi eneo lote la zahanati, tulitembelea wagonjwa pamoja na wazazi. Hatukuishia hapo tuligawa zawadi ambazo tulifanikiwa kuzibeba kwenye msafara wetu k**a vile sabuni, pampasi na vifaa vya usafi kwa ajili ya zahanati yetu. Pamoja na hayo tulipanda miti kuweka sawa mazingira ya zahanati yetu
# MTI PESA PAMOJA TUNAWEZA #

Address

SLP 19
Chalinze

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mti pesa group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category