04/05/2026
🏥TNMC LICENSURE EXAM APPLICATIONS - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
————————————
MAOMBI YA USAJILI WA MITIHANI YA NURSING & MIDWIFERY (TNMC) – 22 MAY 2026 . . . !
Je, wewe ni mwanafunzi wa uauguzi unayejiandaa kufanya mtihani wa taaluma (Licensure Exam) mwezi Mei 2026 . . . ? - Usiruhusu makosa ya kiufundi kwenye usajili yakukoseshe sifa ya kuwa muuguzi aliyesajiliwa!
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kufanya maombi na usajili mtandaoni kupitia mfumo wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa usahihi na uhakika wa 100%.
HUDUMA TUNAZOTOA:
* Upgrade ya Account [Diploma To Degree nk]
* Usajili wa Akaunti: Kufungua akaunti mpya kwenye mfumo wa TNMC.
* Maombi ya Mtihani (Examination Application): Kujaza taarifa zote kwa usahihi kulingana na miongozo ya Baraza.
* Uhakiki (Verification) & Kurekebisha account: Kuhakikisha kila hatua imekamilika na kurekebisha taarifa kosefu kabla ya tarehe ya mwisho (Deadline: 10 May 2026).
ADA YA MTIHANI
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 150,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 200,000/- [Raia wa Kigeni]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 75,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 125,000/- [Raia wa Kigeni]
KUMBUKA: Epuka kujaribu kutuma maombi na kujaza taarifa kosefu kwenye mfumo, okoa muda na gharama Wasiliana na Seven Online Service . . . !
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!