Tanzanite Park pool

Tanzanite Park pool Swimming pool

05/06/2026

*Friday iko locked!*
Tanzanite Park Pool inawasha moto this Friday πŸ”₯
Food πŸ• | Music 🎢 | Drink 🍹 | Sh**ha πŸ’¨
*Entrance: 15K only*
Piga simu 0719313490 kuweka nafasi.
Usikose, pool party ya maana iko hapa!

03/06/2026

Karibu Tanzanite Park swimming pool

02/06/2026

β€œPool ilikuwa ya moto usiku wa partyπŸ”₯πŸ”΄
Tanzanite Park Pool + lights + vibes = pataa tu.
Tag mtu unataka uje naye hapa usiku wa leo!”

01/06/2026

Asanteni sana kwa kuja watu wangu wa nguvu
Ilikuwa ya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯sana

26/05/2026

Sherehekea Eid Alhadha kwa style tofauti! πŸ₯³ Tunakuletea Pool Party ya moto kabisa na Live DJ, mziki mzuri, games na swimming bila kusimama.
> πŸ’§ Mahali: Tanzanite Park Pool
> πŸ’° Entry: 15,000/= tu
> πŸ“ž Piga: +255 719 313 490
> Tag washikaji zako tuonane swimming pool!

23/05/2026

πŸ”₯ USIKOSE FAINALI KUBWA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE! πŸ”₯

⚽ PSG πŸ†š Arsenal
πŸ† Fainali ya UEFA live kwenye screen kubwa kabisa ndani ya White Oasis Pool Party!

πŸŽ‰ Vibe za pool party, music kali, cocktails, games na burudani isiyo na kifani zikikutana na mechi kubwa zaidi ya mwaka!

πŸ“ Tanzanite Park Pool
πŸ“… 30 May 2026
⏰ Kuanzia Saa 9 Alasiri mpaka usiku

🎟 Regular: 15,000/=
πŸ‘‘ VIP: 150,000/=

πŸ”₯ Njoo ushuhudie historia ikiandikwa huku ukienjoy vibe za kipekee kabisa!

πŸ“ž Reservation & Info: +255 719 313 490

DarEsSalaamEvents

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
DARESSALAAM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanite Park pool posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share