17/01/2025
Hakika Kila Hatua ya Mafanikio Ya Mtoto Nyuma Yake Mama au Baba Kafanya Kazi Kubwa Sana.
Wanawake Nitaifa Kubwa Sana! Hongera Sana Mama Kwa Kazi Kubwa Ya Baraka Uliyo Ifanya na Leo Ni Eshima Kwa Familia! π₯π₯π₯π₯