Cassim Sports

Cassim  Sports Kwa Ajili Ya Kuhabarishana Habari za Michezo na Burudani

🚨 Young Africans πŸ”° itautumia uwanja wa KMC Complex kwaajili ya mechi za nyumbani za NBC PL πŸ‡ΉπŸ‡Ώ msimu huu wa 2026-27❌ Wana...
15/08/2026

🚨 Young Africans πŸ”° itautumia uwanja wa KMC Complex kwaajili ya mechi za nyumbani za NBC PL πŸ‡ΉπŸ‡Ώ msimu huu wa 2026-27

❌ Wananchi wamehama UHURU STADIUM.πŸ€”

Dili la Paul Peter kwenda Simba lipo hivi Kocha amebariki  mchezaji asajiliwe , Tajiri yupo tayari kutoa pesa ya usajili...
15/08/2026

Dili la Paul Peter kwenda Simba lipo hivi

Kocha amebariki mchezaji asajiliwe , Tajiri yupo tayari kutoa pesa ya usajili , JKT wapo tayari kumuuza mchezaji , Mwenyekiti wa Klabu amebariki usajili ufanyike mchezaji aende Unyamani lakini upo upande kwenye uongozi wa juu wa klabu unaweka ugumu.

Cc: Shaffih Dauda

Mpaka Sasa hakuna kinachoendelea.JKT wanasubiri Simba Tu wamwage mpunga Ila Pesa Iko BankπŸ˜‚Za ndani Inasemaka mtengenezaj...
15/08/2026

Mpaka Sasa hakuna kinachoendelea.

JKT wanasubiri Simba Tu wamwage mpunga Ila Pesa Iko BankπŸ˜‚
Za ndani Inasemaka mtengenezaj Wa jezi Za simba Ndio Anasimamia show yote Hii Klabu kazi yake ni kuandaa mkataba tu sijui wanakwama wapiπŸ€”

🀫
14/08/2026

🀫

 : Magoli matatu na alama tatu ni mali ya Singida BS.FT: Singida BS 3-0 Fountain Gate FCSingida BS Anakwea Kilelen
14/08/2026

: Magoli matatu na alama tatu ni mali ya Singida BS.

FT: Singida BS 3-0 Fountain Gate FC

Singida BS Anakwea Kilelen

πŸš¨πŸ’£ππ‘π„π€πŠπˆππ†:Simba wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa JKT Tanzania,Paul Peter Kasunda (...
14/08/2026

πŸš¨πŸ’£ππ‘π„π€πŠπˆππ†:Simba wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa JKT Tanzania,Paul Peter Kasunda (27).

Tayari Kasunda amekubaliana kila kitu na Simba na hivi sasa Mnyama anamalizana na JKT kisha kijana atatambulishwa k**a mchezaji mpya wa Simba.

Simba wameamuwa kumsaini Kasunda baada ya ofa ya Pape Abdou N’diaye kupigwa chini.

Kasunda na Simba almost ni Deal Doneβœ…

β€œKesho tunakwenda kumtambulisha EX FACTOR wetu ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki na lengo letu kuitikisa Afrik...
14/08/2026

β€œKesho tunakwenda kumtambulisha EX FACTOR wetu ambaye hapatikani kwa michango ya mashabiki na lengo letu kuitikisa Afrika”

β€œUsajili huu haujawahi kutokea kwa aina yake ya utambulisho pamoja sifa ya mchezaji mwenyewe, Yanga tukiamua jambo letu tunalifanya kwa nguvu ya GSM sio kusubiri michango k**a wengine”

β€œNjooni uwanjani kushuhudia balaa letu jipya ili uwe wa kwanza kupiga naye picha EX FACTOR wetu”

πŸ—£οΈ Ali Kamwe - Afisa habari wa klab ya

" Tumeandaa Documentary maalumu ya utambulisho wa Seleman Mwalimu jinsi tulivyomsajili kuanzia tunamtorosha kambini hadi...
14/08/2026

" Tumeandaa Documentary maalumu ya utambulisho wa Seleman Mwalimu jinsi tulivyomsajili kuanzia tunamtorosha kambini hadi kufanya maandalizi ya utambulisho ila kitu cha pekee tulichokiona kwenye kambi ya wenzetu wanalala sana na kukoroma"

β€œDocumentary hii tutaiandaa vizuri na kuiuza kwenye mitandao maana tumepata tabu sana kumpata mchezaji mkubwa k**a yule, tulitaka kumtambulisha usiku ila tukaona tumtambulishe jogoo anapowika”

πŸ—£οΈAli Kamwe - Afisa habari wa klab ya

πŸ†   πŸ•˜ Dak 28  Singida Black Stars 1️⃣ - 0️⃣ Fountane Gate   ⚽️ Jonathan Sowah  🏟 Airtel Stadium
14/08/2026

πŸ† πŸ•˜ Dak 28

Singida Black Stars 1️⃣ - 0️⃣ Fountane Gate
⚽️ Jonathan Sowah
🏟 Airtel Stadium

Takwimu Za Aziz Kii MSIMU ULIOISHA🚨 𝐊𝐈 π€π™πˆπ™ 𝐋𝐄𝐀𝐕𝐄𝐒 𝐀𝐋 πˆπ“π“πˆπ‡π€πƒ! MAGOLI 8ASISSTS 3MECHI 11AMEHUSIKA NA MABAO 11 KATIKA MEC...
14/08/2026

Takwimu Za Aziz Kii MSIMU ULIOISHA

🚨 𝐊𝐈 π€π™πˆπ™ 𝐋𝐄𝐀𝐕𝐄𝐒 𝐀𝐋 πˆπ“π“πˆπ‡π€πƒ!

MAGOLI 8
ASISSTS 3
MECHI 11

AMEHUSIKA NA MABAO 11 KATIKA MECHI 11

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cassim Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share