UVCCM Tawi la Idrisa

UVCCM Tawi la Idrisa Uongozi wa UVCCM
1. Mwenyekiti ni SAIDI KAZI
2. Katibu ni SHARIFU MORGAN
3. Hamasa ni BALOTELI
4.

08/08/2020

Mwangalie Kijana kutoka Tawi la Idrisa Kata ya Mzimuni Con. AZMINA AFFI AMIRI akiomba kura za NDIO kwa wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM.

Siku ya Uzinduzi wa Shina la Idrisa Hujatupa Umeweka lililozinduliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wa Mkoa wa Da...
24/07/2020

Siku ya Uzinduzi wa Shina la Idrisa Hujatupa Umeweka lililozinduliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam Con. Simon Mwakifwamba.

📸 2019. Baadhi ya viongozi wa Tawi la Idrisa wakati walipokutana kwenye ukumbi wa Tawi wakiwa wanaelekea kwenye uzinduzi...
24/07/2020

📸 2019. Baadhi ya viongozi wa Tawi la Idrisa wakati walipokutana kwenye ukumbi wa Tawi wakiwa wanaelekea kwenye uzinduzi wa Shina.

Karibu sana katika ukarasa rasmi wa UVCCM na Chama Tawi la Idrisa.📸 Siku ya uzinduzi wa Shina letu la Hujatupa Umeweka a...
23/07/2020

Karibu sana katika ukarasa rasmi wa UVCCM na Chama Tawi la Idrisa.

📸 Siku ya uzinduzi wa Shina letu la Hujatupa Umeweka ambalo lilizinduliwa na Com. SIMON MWAKIFAMBA kwa kuongozwa na uenyeji na Com. Chief MORISON MOSSES JUMANNE MZEE.

Address

Idrisa, Kata Ya Mzimuni
Dar Es Salaam
14102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Tawi la Idrisa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share