22/03/2023
SIFA ZA MWANAUME AU MWANAMKE ALIE FUNGWA KICHAWI👹 KWENYE NDOA NA MAHUSIANO♥
1.💥 Hapendi kutulia nyumbani yani hajisikii amani kuwa nyumbani kwake hata akifika nyumbani anakuwa mtu wa hasira na visa visa ili amani ipote tu kwenye nyumba😪
2.💥 Hamfurahii mume wake mke wake au mchumba wake, anapokuwa karibu na mke wake au mchumba wake anajisikia hasira bila sababu, anaweza kujikuta anamtamkia maneno mabaya tu makusudi
Mnaweza kuongea vizuri mkiwa mbali lakini mkiwa karibu tu hamjui ugomvi umetokea wapi mnakorofishana kwa kitu kidogo ugomvi unakuwa mkubwa unachukua mda mrefu kuisha kusameheana inakuwa vigumu mpaka mnataka kuachana, hivyo ni vifungo kwenye eneo la ndoa na mahusiano yenu.
3.💥 Kila mnapo waza future au maendeleo yakujenga familia au yanayo wafanya muwe pamoja lazima mtamaliza kwa ugomvi au kutokuelewana, matokeo yake mnaona bora muache tu kuongea hiyo mipango ya maendeleo ya familia au ndoa,
Mnaamua kila mtu afanye analoona linafaa, mnakosa mwafaka na mapatano ya pamoja kwa jambo linalowafanya muwe k**a mke na mume au k**a mtu na mchumba wake.
4.💥 Mda mwingi mahusiano yenu yametawaliwa na visasi na kuhesabiana makosa kifupi hayana msamaha makosa ndiyo nguvu ya mahusiano ukifanya jambo dogo unakumbushwa makosa ya nyuma ambayo ulihisi yameisha ukiona hivo ujue kuna mmoja kati yenu anavifungo au wote mumefungwa mnatakiwa maombi ya ukombozi wa ndoa na sadaka
5.💥 Mnaishi kwa kulinganishwa na watu wa inje au ma ex waliopita. Mfano utaambiwa wanaume wenzako hawako hivo au wanawake wenzako hawako hivo, au tangu nimeanza kuwa namahusiano sijawahi kuwa na mwanaume asie jitambua k**a wewe au sijawahi kuwa na mwanamke mjinga k**a wewe,
Ukiona hivi jua kuna shida ipo kati yenu kuna vifungo vime wafunga kwenye eneo la mahusiano na ndoa ukiwa na tabia hizi hakuna siku utaona amani kwenye ndoa au mahusiano yako.
6.💥 Hakuna malidhiano kwenye jambo lolote hasa kwenye tendo la ndoa utakuta malalamiko ya kutokutoshelezana na migogoro ya kila mmoja anataka mwenzake afanye anachota yeye na siyo anachotaka mwenzake kifupi kila mtu ni mbinafsi ameshikilia misimamo yake, Hilo nalo ni kifungo.
7.💥 Mikinzano ya kiimani na chaguo, mmoja anaamini hivi katika hili na mwingine anaamini vingine katika hilo. Ukichagua hiki anakwambia umekosea ungechagua kile baba ana chaguo lake na mama anachaguo lake, baba ana vitu vyake na mama ana vitu vyake baba ana watoto wake anao wapenda na mama ana mtoto wake anaempenda, mmoja akirudi saa 4 usiku mwingine anarudi saa 6 usiku.
Ukiona hivo kwenye ndoa au mahusiano hamuwezi kwenda mbali mwisho wasiku mtasaritiana na inaweza kwenda mbali mpaka mkawekeana sumu kabisa mkauwana, hii hali nikifungo cha adui kibaya kinacholenga kuleta hatari kwa watoto na mauti ya ndoa.🙏
Ukiona unapitia hii hali kwenye ndoa na mahusiano usichukulie ni kawaida hii hali inaweza kugarim maisha yako mpendwa ukapoteza uhai wako,
Njoo niombe na wewe yupo Yesu anae rejesha mahusiano na ndoa zilizoshindikana na kugeuza mioyo ya wana ndoa au wachumba walio chukiana na kurejesha upendo ndani yao wakasahau maumivu ya ndoa na mahusiano 💓
SEMA BWANA YESU NAKUKABIDHI MAHUSIANO NA NDOA YANGU PIA NAKUKABIDHI MUME WANGU MKE WANGU UMTAWALE WEWE NAKATAA SHETANI KUINGILIA NDOA YANGU KWA MLANGO WOWOTE ULE NIFANYE KUWA BORA KWA MWENZANGU NIWE CHANZO CHA FURAHA NA AMANI KWENYE NDOA YANGU KWA JINA LA YESU AMEE🙏
By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126
Mungu akubariki🙌