25/12/2021
*MTOTO WA JICHO (CATALACT)*
Mtoto Wa Jicho (Cataract) Ni Nini?
K**a una miaka zaidi ya 50 na unaona ukungu unapovitazama vitu mbele yako, unaweza kuwa na tatizo la mtoto wa jicho (cataract). Ni tatizo linalowasumbua watu wengi wenye umri mkubwa.
Cataract ni kufunikwa kwa lensi ya jicho na tabaka la protini lililojijenga kuizunguka lensi. Mtu mwenye mtoto wa jicho huviona vizuri cataract kwa kawaida hujijenga taratibu na haisumbui katika kuona kwenye hatua zake za mwanzo. Lakini, taratibu mtoto wa jicho ataanza kuvuruga uonaji wako.
Mwanzoni, mwanga mkali au kuvaa miwani ya jua kutaweza kukusaidia. Ikifika hatua ya kushindwa kufanya kazi zako vizuri, unaweza kuhitaji upasuaji. Kwa bahati nzuri, upasuaji wa mtoto wa jicho au ukatumia dawa za kuyeyusha za asili na zinamsaidia mgonjwa kurudia kwenye hali yake ya awali.
*DALILI ZA MTOTO WA JICHO*
* Dalili za mtoto wa jicho zaweza kuwa:
✓. Kuona ukungu au mwanga kupungua
✓. Kupata matatizo zaidi ya kuona usiku
✓. Kutopenda mwanga mkali
✓. Kuhitaji mwanga zaidi wakati wa kusoma na kufanya shughuli nyingine
✓. Kuona mwanga wa mviringo kuzunguka vyanzo vya mwanga (halos)
✓. Kuhitaji kubadili miwani mara kwa mara
✓. Kupungua kukolea kwa rangi
✓. Kuona vitu mara mbili kwenye jicho moja
Unataka kuondoa mtoto wa jicho bila upasuaji? Inaonekana k**a ni kitu kisichowezekana, lakini waweza kuondoa mtoto wa jicho bila kisu.
Ikiwa unatatizo hili tafadhali tupigie simu au fika ofisin tutakusaidia.Ahsante.
📞/WhatSapp 0685959591
Tunapatika Mbezi Luisi karibu na stand mpya ya Magufuli (Dar-es- salaam)