17/04/2023
inapenda kutoa pongezi kwa uongozi na serikali kwa ujumla kwa kuendelea kuingia ubia na kampuni mbali mbali za nje kwa kuendeleza kujenga viwanja Katika Hifadhi za Taifa za Mikumi, Ruaha, Nyerere na Udzungwa hii ni kuongeza chachu Katika sekta ya utalii Nchini pia serikali imejikita juu ya kuendeleza mapambano ya Ujangili na Uvunaji haramu wa misitu nchini lengo likuwa ni kutunza Rasilimali zilizopo nchini kwa faida ya Taifa kwa ujumla, Kitaifa
Serikali ya Tanzania yataja sababu ujangili kupungua kwa asilimia 90
Ijumaa, Juni 04, 2021
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, aliwahi kusema matukio ya ujangili yamepungua kwa asilimia 90 nchini kutokana na jitihada zilizofanywa na Serikali.
Kupitia wizara chini ya Mheshimiwa
tuna Imani na jopo lake wanaendelea kuimarisha ulinzi wa Rasilimali za Maliasili kwa kudhibiti Ujangili, biashara Haramu ya nyara, uvunaji haramu wa mazao ya misitu na uvamizi wa maeneo yaliyohifadhiwa kwa shughuli za kilimo, ufugaji na makazi.
Pongezi kwa serikali kwa kuboresha miundombinu ya barabara na mawasiliano kwa kujenga minara Katika hifadhi za Taifa na kuongeza Village game scouts
(VGS)
Go Go Go