LOMWE Leaverz

LOMWE Leaverz The place where lomwe leaverz can meet their late friendz which they left them years and years

25/12/2017

wanauzwaa!!

+255 712044015

Hakika  Usangi  hadi  Wilaya ya Mwanga  kunazizima  kwa  Simanzi  kubwa  Mchapakazi kwa miaka zaidi  ya Ishirini na  kit...
28/03/2017

Hakika Usangi hadi Wilaya ya Mwanga kunazizima kwa Simanzi kubwa Mchapakazi kwa miaka zaidi ya Ishirini na kitu kuiongoza Lomwe High School ukiwa k**a Mkuu wa shule kwa kipindi chote hicho. Mungu akulaze Mahali pema peponi Mzee Wetu Nelson Kangero .Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi Bwana ametoa bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe Amen.

 .I.p        Sir Nelson kangero the  .  tulikupendaaa sanaaa Ila mungu amekupendaaa zaidi Poleni sana wana    school Bwa...
28/03/2017

.I.p Sir Nelson kangero the . tulikupendaaa sanaaa Ila mungu amekupendaaa zaidi

Poleni sana wana school

Bwana ametoa na bwana ametwaa jinaa LA bwana liimidiweeee

22/03/2017

habari wana lomwe

10/02/2017

LOMWE SEKONDARI. Salam ndugu Mzazi/Mlezi. Hongera kwa matokeo mazuri ya kidato cha nne ya mwanao. Shule inapenda kukuarifu kuwa imeanza kufundisha masomo ya sayansi na kuendelea na yale ya ARTS. Masomo yanayotolewa ni-PGM, CBG, PCB, PCM, HGE, EGM, HKL, HGK, na HGL. Shule ina walimu wa kutosha wenye sifa na inafaulisha vizuri. Masomo ya PRE-FORM FIVE Yataanza tar 01/03/2017 Kwa wale watakaopenda kujiunga na shule hii.Wasiliana na mkuu wa shule 0769 398 366 Kwa maelekezo zaidi.

 #2017Dope   bless  Back      Kilimanjaro Up ☝☝☝👊👊👊
30/01/2017

#2017
Dope bless
Back


Kilimanjaro Up ☝☝☝👊👊👊

Your hands, head,vocal, legs and other organs works together to reach success bt our support is much value to make you s...
12/09/2016

Your hands, head,vocal, legs and other organs works together to reach success bt our support is much value to make you successed..JAH bless YOU ma boi Triple M Plausible CAMP wait for a new upcoming artist song MAPENZI GANI..
Fb@Triple M Plausible
Insta@Triple M Plausible
We need your support to work together like fingers follow the boi to get his works and you must realize he CaN..
THANK YOU

HAYA SASA MZIGO NDO K**A UWOO KWA WAJANJA WOTE VAA PENDEZA NA LOGO KALI TOKA KWA WAKALI WA TOWN USICHELEWE YANI SWEET MA...
06/09/2016

HAYA SASA MZIGO NDO K**A UWOO KWA WAJANJA
WOTE VAA PENDEZA NA LOGO KALI TOKA KWA WA
KALI WA TOWN USICHELEWE YANI
SWEET MANG& SWEET MANKA...VEST & T-SHET
UKITAKA MZIGO CHEKI HAPA #0712044015@20,000/=TUU

Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana oooo ooo haina maana kunyimana sisi wote nimajirani haina maana kunyimana plz vo...
18/08/2016

Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana oooo ooo haina maana kunyimana sisi wote nimajirani haina maana kunyimana plz vote vote vote iliniweze kua mshindi kwa shindano la club raha Leo Andika CR 0354 kwenda namba 15559..... m plausible

Ndugu zangu jinsi ya kunipigia  kura....... zingatieni vigezo Andika CR acha nafasi Andika 0354 kwenda namba 15559 yani ...
16/08/2016

Ndugu zangu jinsi ya kunipigia kura....... zingatieni vigezo Andika CR acha nafasi Andika 0354 kwenda namba 15559 yani CR 0354 kwenda 15559 Basi utakua umenipigia kura yako kwapamoja tunaweza kumbukeni Mimi nawategemea nyinyi bila nyinyi Mimi sio kitu plz vote vote vote@triple m plausible

Vote vote vote ndugu zangu support yenu ni muhimu sanaa naombeni kura zenu ili tuweze kumfanya awe mshindi katika shinda...
15/08/2016

Vote vote vote ndugu zangu support yenu ni muhimu sanaa naombeni kura zenu ili tuweze kumfanya awe mshindi katika shindano la club raha Leo Show msimu wa tatu kumpigia kura Andika M***A MYANZA 0354 kwenda Nambari 15559 piga kura uwezavyo ili aweze kuwa mshindi...tunawategemea sana wana lomwe....alikiba ni fahari ya shaghatin...M***A MIANZA ni fahari yetu wana lomwe...AHSANTENI SANA # M PLAUSIBLE A.K.A M***A BIBA

Elgiver mwasha a.k.a Ari de giver ... ...miss tanga 2016-2017,,,lets wish her for a nice job she did...congratulations d...
30/07/2016

Elgiver mwasha a.k.a Ari de giver ... ...miss tanga 2016-2017,,,lets wish her for a nice job she did...congratulations dada giver...follow her ..ari de giver..insta@official__nanaa...share uwezavyo just to show love

Address

Shabyvolsantos@gmail. Com
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LOMWE Leaverz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share