DRC - kingdom Embassy

DRC - kingdom Embassy "Representing Heaven While on Earth"

28/03/2026
06/03/2026

KARIBU JUMAPILI HII ITAKUWA YA MOTO/MULIRO/LIET KA PASS🔥🔥

Je, Unajua jinsi ya kuamuru MALAIKA wakulinde popote uendako?
NI WAKATI WA KUTEMBEA BILA HOFU
Ungana nasi kwenye ibada hii maalum itakayofanyika hapa
TABATA,SEGEREA MTAA WA UGOMBOLWA KWA DASI
SAA 3:00AS HADI 6 MCHANA
WASILIANA NASI KWA 0757024090

KARIBU KATIKA SIKU 3 ZA MOTO WA SHUKURANI Mtu mkuu wa Mungu kutokana na mambo mema, mengi MUNGU aliyoyatenda kwetu tafad...
24/02/2026

KARIBU KATIKA SIKU 3 ZA MOTO WA SHUKURANI

Mtu mkuu wa Mungu kutokana na mambo mema, mengi MUNGU aliyoyatenda kwetu tafadhali kwa unyenyekevu njoo tumwambie

> "Erokamano Nyasaye!
>Wabeja Sebha!

>Webare katonda
>Ndaga Kyala
>Songela Shekulu

Biblia inasema katika Ayubu 5:9 kuwa Mungu anafanya mambo makuu yasiyochunguzika. Njoo uone makuu ya Mungu kwenye maisha yako wiki hii. Ni zamu yako kumiliki malango ya adui kitalamu! Karibuni Ugombolwa kwa Dasi."

--

MUNGU ALIYE MWAMINIFU[ NYASAYE MA JA-ADIERA)>> Je, umekuwa ukifanya kazi kwa bidii lakini mikono yako haizalishi unachos...
20/02/2026

MUNGU ALIYE MWAMINIFU
[ NYASAYE MA JA-ADIERA)
>
> Je, umekuwa ukifanya kazi kwa bidii lakini mikono yako haizalishi unachostahili? Umekuwa ukichota maji kwenye gunia?
>
> Jumapili hii pale DRC Kingdom Embassy, Ugombolwa, tunakwenda kuvunja kuta za kizuizi. Kuna upako maalum unaokuja kuifanya mikono yako ianze "Kuzalisha" tena! (YOH 11:44).
>
> 📍 **Mahali:** Ugombolwa, Tabata-Segerea.
> 🕒 **Muda:**Jumapili Saa 3:00-6:30 Mchana.
> 🚀 ** Usikose Mpenyo wako!

KARIBUNI WATU WOTE HOSPITALI YA MUNGU KWA WATU WOTE IKO WAZI KWA YAKO Kwa Huduma na maswali zaidi piga0757024090/0694559...
13/02/2026

KARIBUNI WATU WOTE HOSPITALI YA MUNGU KWA WATU WOTE IKO WAZI KWA YAKO

Kwa Huduma na maswali zaidi piga
0757024090/0694559599

23/07/2019

Is season of Favor anointing

God is Good we are mooving ''200'' speed
07/05/2019

God is Good we are mooving ''200'' speed

Mwaka 2019 uwe mwaka wako wa kujenga na kuishimo
24/12/2018

Mwaka 2019 uwe mwaka wako wa kujenga na kuishimo

Address

Tabata Segera Kwa Dasi ( Jrani Na Ofisi Ya Serikali Za Mtaa)
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DRC - kingdom Embassy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share