Jawabu tz

Jawabu tz Ukweli tu

02/09/2026

Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapish wakuu wa mikoa ikulu jijini Dar es salaam

02/09/2026

Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha wakuu wa mikoa ikulu jijini Dar es salaam

NUKUU ZA MHE RAIS DR.SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU NDOGO YA TUNGUU, ZANZIBAR.
02/09/2026

NUKUU ZA MHE RAIS DR.SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU NDOGO YA TUNGUU, ZANZIBAR.

Yale ya wafanyabiashara kurudi mitaani yanarudi kwa kasi kubwa, pamoja na kujenga masoko makubwa lakini bado wafanyabias...
02/09/2026

Yale ya wafanyabiashara kurudi mitaani yanarudi kwa kasi kubwa, pamoja na kujenga masoko makubwa lakini bado wafanyabiashara ndogo ndogo wanarudi kwenye mitaa, twendeni tukawasimamie.

Twendeni tukawasimamie si kwa kuwapiga fimbo kwa kutumia mgambo kwa kuwanyang'anya vitu vyao na kuwapiga mateke hapana, bali kwa mipango mizuri itakayowafanya warudi kwenye masoko. -Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Faceb...
02/09/2026

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel:
Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz


31/08/2026

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam Nasra Mohamed amefikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, nchini Burundi.

Katika ziara hiyo, Nasra pia amempongeza Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi kwa kuaminiwa na Rais Samia na kupewa nafasi ya kulitumikia Taifa, akisisitiza kuwa ni sehemu ya jitihada za kuwaamini vijana katika uongozi.

Akizungumza akiwa Burundi, Nasra amempongeza Rais Samia kwa kuwaamini vijana na kusisitiza kuwa vijana wana nafasi muhimu katika ujenzi wa Taifa. Aidha, UVCCM DSM imetoa pongezi kwa Rais wa Burundi na kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya Tanzania na Burundi, huku ujumbe huo ukisisitiza umuhimu wa kuendeleza undugu na mshikamano kati ya nchi hizo mbili.

———

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jawabu tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share