TBS Viwango

TBS Viwango TBS is mandated to undertake measures for quality control of products of all description and to promote standardization in Industry and Trade.

03/06/2026
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) akimkabishi ch...
02/06/2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) akimkabishi cheti Afisa Utawala Mkuu wa TBS Bw. Amon Kitainda kwa niaba ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala katika kikao kazi kilichofanyika Mkoani Dodoma kuanzia tarehe 1-3 Juni, 2026

Cheti hiki ni chachu ya maendeleo kwa wananchi kwa kuzingatia misingi ya uwajibikaji, usikivu, usawa, weledi, ubunifu na maadili utendaji katika kutoa huduma bora kwa wananchi.

Afisa Mdhibiti Ubora  (TBS) Bw.Timotheo Mwendi akiwapatia elimu ya Viwango wajasiliamali waliotembelea banda la TBS kati...
01/06/2026

Afisa Mdhibiti Ubora (TBS) Bw.Timotheo Mwendi akiwapatia elimu ya Viwango wajasiliamali waliotembelea banda la TBS katika Maadhimisho ya Wiki ya maziwa yanayoendelea Mkoani Iringa.
Aidha Bw. Mwendi amewasisitiza wajasiliamali wote katika sekta ya maziwa kuzingatia Viwango vya ubora na usalama wa chakula katika hatua zote za uzalishaji, ukusanyaji, usindikaji, ufungashaji na uzambazaji wa maziwa ili kulinda afya ya walaji.

Mh.Balozi Dkt Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea banda la TBS katika maadhimisho ya wiki ya ma...
01/06/2026

Mh.Balozi Dkt Bashiru Ally Kakurwa, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ametembelea banda la TBS katika maadhimisho ya wiki ya maziwa yanayofanyika Kitaifa Mkoani Iringa 28 Mei - 1 Juni.
Aidha Dkt.Bashiru ameipongeza TBS kwa kuwa na maabara za kisasa zenye teknolojia ya hali juu kuhakikisha ubora na usalama wa bidhaa zinazozalishwa nchini hususani mazao ya kilimo na chakula.

Address

9524
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:30 - 16:00
Tuesday 07:30 - 16:00
Wednesday 07:30 - 16:00
Thursday 07:30 - 16:00
Friday 07:30 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TBS Viwango posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share