21/01/2026
"Tangu Uhuru, tulikuwa hatupati TBC... Mwaka huu wataanza kusikiliza redio yao ya Taifa." - Mhe. Edward Olelekaita, Mbunge wa Kiteto.
​Je, ni kwa namna gani amefanikiwa kutuliza migogoro ya wakulima na wafugaji? Ungana nasi kwenye Ongea Nae.
​🕒 Jumanne | Saa 10 Jioni
📺 TBC1
​