AMANI ORG

AMANI ORG Muungano wa nchi za Afrika

Idd Amin akiwapigisha magoti wazungu,Je kweli alikuwa dikteta k**a tulivyolishwa sumu na historia yetu ya Tanzania tunay...
16/09/2022

Idd Amin akiwapigisha magoti wazungu,Je kweli alikuwa dikteta k**a tulivyolishwa sumu na historia yetu ya Tanzania tunayoisoma darasani?

Mimi nilivyosoma historia vizuri kuhusu Idd Amin ni kuwa mtu aliyependa waganda wamiliki ardhi yao wenyewe na si wa wazungu, alikuwa hapendi wazungu wawaonee waafrika n.k

Historia yetu muda mwingine inaongezea uongo, Tanzania tunamchukia Idd amin kisa tu kuivamia Kagera lakini hayo yalikuwa mapungufu yake ,lakini mengi alifanya mazuri ndio maana Uganda wanamkumbuka sana , japokuwa viongozi wao vibaraka wa wazungu hawataki wasikilize mazuri yake.

Congratulations Ruto , kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya 👏👏👏👏👏
14/08/2022

Congratulations Ruto , kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya 👏👏👏👏👏

Address

Dodoma Kikuyu
Dodoma
40000

Telephone

+255676942328

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AMANI ORG posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to AMANI ORG:

Share