TMDA

TMDA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TMDA, Government Organization, Dodoma.

22/08/2026
TMDA yathamini mchango wa waandishi wa habari za kiudhibiti kwa kutoa tuzo maalum
21/08/2026

TMDA yathamini mchango wa waandishi wa habari za kiudhibiti kwa kutoa tuzo maalum

TMDA Kanda ya  yashiriki maonesho ya 5 ya “Pharmatech & Health East Africa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es sala...
21/08/2026

TMDA Kanda ya yashiriki maonesho ya 5 ya “Pharmatech & Health East Africa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es salaam 19 - 21 Agosti, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga, aipongeza TMDA wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Wahariri wa Habari kilic...
20/08/2026

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga, aipongeza TMDA wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Wahariri wa Habari kilichofanyika tarehe 20 Agosti, 2026 kwa jukumu la kulinda afya ya wananchi na hivyo kuwezesha kukua kwa uchumi na maendeleo ya taifa.

TMDA yakutana na Wahariri wa  Habari Kanda ya Kaskazini kujadili ushirikishaji jamii katika kupambana na bidhaa tiba za ...
20/08/2026

TMDA yakutana na Wahariri wa Habari Kanda ya Kaskazini kujadili ushirikishaji jamii katika kupambana na bidhaa tiba za binadamu na mifugo zilizo duni, bandia na zisizosajiliwa ili kulinda afya ya Jamii

20/08/2026

Tarehe 20 Agosti, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mh. Queen Sendiga atoa wito kwa jamii kutoa taarifa TMDA wakibaini dawa na vifaa tiba bandia ili kwa pamoja tulinde jamii.

MAB yapongezwa na yaagwa rasmi baada ya kumaliza muda wake
15/08/2026

MAB yapongezwa na yaagwa rasmi baada ya kumaliza muda wake

TMDA na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark kushirikiana katika udhibiti wa bidhaa tiba
12/08/2026

TMDA na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark kushirikiana katika udhibiti wa bidhaa tiba

Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Adam Fimbo akisimamia kwa vitendo uongozi wakusikilia na kujadili kwa  pamoja na watumishi mikakat...
11/08/2026

Mkurugenzi Mkuu, Dkt. Adam Fimbo akisimamia kwa vitendo uongozi wa
kusikilia na kujadili kwa pamoja na watumishi mikakati ya udhibiti

Address

Dodoma
1253

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TMDA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share