EGA_tanzania

EGA_tanzania e-GA inakusudia kutekeleza afua mbalimbali ili kusaidia taasisi za umma kutoa huduma mtandao kwa ufanisi. ISO 9001: 2015
CERTIFIED

15/08/2026



10/08/2026

08/08/2026

Heri ya siku ya maadhimisho ya siku ya Nane Nane 2026.

08/08/2026


Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)  katika Viwanja vya Maonesho ya N...
07/08/2026

Wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma.

Wananchi hao wamepatiwa elimu kuhusu huduma mbalimbali na kazi za Mamlaka katika kuboresha utoaji wa huduma za umma kupitia mifumo ya TEHAMA.


Kaimu Katibu wa Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Mhandisi Samwel Tanguye ametembelea Banda...
06/08/2026

Kaimu Katibu wa Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Mhandisi Samwel Tanguye ametembelea Banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma.

Akiwa katika Banda hilo, Mhandisi Tanguye ameipongeza e-GA kwa kuendelea kubuni na kusanifu mifumo ya TEHAMA inayosaidia Taasisi za Umma kutoa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi kwa wananchi wanaowahudumia.


06/08/2026

Alhamisi hii katika , Tutakuwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Herry James,

SUBSCRIBE eGA online Tv sasa ili usipitwe...

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri  ametembelea banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) katika maonesh...
06/08/2026

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri ametembelea banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) katika maonesho ya 33 ya Kilimo (NaneNane) katika viwanja vya John Malecela,Nzuguni jijini Dodoma.

Mhe.Shekimweri ameelezea kuvutiwa zaidi na ubunifu wa e-GA katika kutumia teknolojia zinazoibukia ikiwemo Akili Unde (AI), kutengeneza mifumo. Baadhi ya mifumo hiyo ni pamoja na mfumo wa Msaada AI na Muhtasari AI.


Address

Mtumba-Mtaa Wa Mtandao
Dodoma

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EGA_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to EGA_tanzania:

Shortcuts

Share