Luck real estate

Luck real estate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Luck real estate, Dodoma.

Kadri jiji linavyotulia kwa ajili ya Sala, familia, na tafakari, Eid hutukumbusha jambo moja muhimu:Furaha ya kweli hupa...
27/05/2026

Kadri jiji linavyotulia kwa ajili ya Sala, familia, na tafakari, Eid hutukumbusha jambo moja muhimu:
Furaha ya kweli hupatikana nyumbani pamoja na watu tunaowapenda.

Katika Eid al-Kabir hii, tunaungana kuadhimisha upendo, kujitoa, shukrani, na umuhimu wa kuwa na sehemu salama ya kuiita nyumbani.

Kutoka kwetu Luck Executive Homes Dodoma, tunawatakia wewe na familia yako amani, furaha, baraka nyingi, na kumbukumbu nzuri zisizosahaulika.

Eid Mubarak 🌙

Hello it’s Monday 🔋⏰Be selfish with your Time,Energy and Space
25/05/2026

Hello it’s Monday 🔋⏰
Be selfish with your Time,Energy and Space

✨ KARIBU LUCK EXECUTIVE HOMES – DODOMA ✨Furahia maisha ya kifahari katika Fully Furnished Luxury 3-Bedroom Apartment,ime...
19/05/2026

✨ KARIBU LUCK EXECUTIVE HOMES – DODOMA ✨

Furahia maisha ya kifahari katika Fully Furnished Luxury 3-Bedroom Apartment,imejengwa kwa umahiri ili kukupa hadhi ya juu.
🏡 Apartment yetu ni ya :
• Vyumba 3 vya kulala (Inachukua hadi wageni 6)
• Samani za kisasa na ubora wa hali ya juu
• Ulinzi wa uhakika saa 24
⚡ Wi-Fi ya kasi bure
❄️ Air Conditioning
📺 HD TV na Netflix
💻 Workspace kubwa kwa kazi au biashara
🍳 Jiko lenye vifaa vya kisasa
🛁 Outdoor whirlpool bath
🍻 Mini Bar
🚗 Free transport / Free parking

📍 Ipo Dodoma – Mahali tulivu, salama na rahisi kufikika.

👉 Fanya Booking yako sasa kwa Bonyeza link iliyopo kwenye bio
Au piga simu: 📞 0760 999 996

Luck Executive Homes – Luxury. Comfort. Convenience. 💯🔥

“Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uweimara na hodari. Usiogope wala usiadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni...
17/05/2026

“Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe
imara na hodari. Usiogope wala usiadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo.”
[Yoshua 1:09]

Tunakutakia Jumapili Njema🙏🏾

HONOR THE WOMAN WHO MADE IT ALL POSSIBLE 🔥🫡Happy Mother’s Day ❤️
10/05/2026

HONOR THE WOMAN WHO MADE IT ALL POSSIBLE 🔥🫡
Happy Mother’s Day ❤️

It’s Monday againIgnore negativity and be Awesome.📌
04/05/2026

It’s Monday again
Ignore negativity and be Awesome.📌

Discipline is the bridge between goals and accomplishment.⏰Happy new week
27/04/2026

Discipline is the bridge between goals and accomplishment.⏰

Happy new week

17/04/2026
Luck Executive Homes tunawatakia Ijumaa Kareem na Ramadhan Mubarak 🌙 Mwenyezi Mungu akubali swaumu na dua zenu.🙏🏾
27/02/2026

Luck Executive Homes tunawatakia Ijumaa Kareem na Ramadhan Mubarak 🌙 Mwenyezi Mungu akubali swaumu na dua zenu.🙏🏾

✝️ Jumatano ya MajivuKatika unyenyekevu na toba, tuanze safari ya Kwaresma kwa imani na matumaini mapya. , tunawatakia W...
18/02/2026

✝️ Jumatano ya Majivu
Katika unyenyekevu na toba, tuanze safari ya Kwaresma kwa imani na matumaini mapya.
, tunawatakia Wakristu wote tafakari njema na baraka tele katika Mfungo huu wa kwaresma.🙏

Address

Dodoma
41122

Telephone

+255621944599

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Luck real estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Luck real estate:

Share