Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Government apex body coordinating sectoral and multi sectoral economic empowerment initiatives in the country.

20/08/2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu Mhe. Prof Palamagamba Kabudi ametoa wito kwa ...
12/08/2026

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu Mhe. Prof Palamagamba Kabudi ametoa wito kwa Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) kufanya kazi kwa bidii na Ushirikiano kwa Maslahi ya Wananchi kwani Baraza hilo lipo kimkakati.

Waziri Kabudi amesema hayo katika Ziara aliyoifanya Ofisi za Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) zilizopo katika Viwanja vya Nanenane Nzuguni, hii leo Agosti 12,2026.

Waziri amesema “Baraza hili liko kwa ajili ya kuwasaidia Wananchi kwa kuwawezesha kiuchumi katika sekta mbalimbali, hivyo basi inabidi muendelee kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kuinua Uchumi wa Wananchi na Taifa kwa ujumla”

Vilevile alilishauri Baraza kujitangaza zaidi kwa Wananchi waweze kulitambua, na kunufaika na fursa zinazotolewa.

Kwa upande wake Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) Bw. Gwakisa Bapala amemwomba Waziri kusaidia katika upitishaji wa kanuni za Mifuko ya Uwezeshaji lakini pia kuharakisha utaratibu wa kuanzisha mfuko wa Uwezeshaji wa Baraza.

Nae pia Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) Prof. Aurelia Kamuzora amemshukuru Waziri kwa ujio wake na kuahidi wao k**a bodi wataenda kuyasimamia yale yote aliyoelekeza.

Maoneshon ya Kilimo - NanenaneAgosti 07,2026.Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) inaendelea kutoa Elimu ya Uwe...
07/08/2026

Maoneshon ya Kilimo - Nanenane
Agosti 07,2026.
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) inaendelea kutoa Elimu ya Uwezeshaji katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika Nzuguni - Dodoma katika Viwanja vya Dkt. John Malecela.

06/08/2026

Karibuni katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu tukuhudumie.

MAONESHO YA KILIMO (NANENANE)Agosti 06,2026.Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Uratibu na wenye Ulemavu Mhe. ...
06/08/2026

MAONESHO YA KILIMO (NANENANE)
Agosti 06,2026.

Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Uratibu na wenye Ulemavu Mhe. Ummy.H. Nderiananga ametembelea katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake katika Maonesho ya kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. John Malecela Dodoma.

Aidha Mhe. Ummy.H. Nderiananga ametembelea Banda la Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) nakupongeza huduma zinazotolewa ikiwa ni Pamoja na Programu za Uwezeshaji.

Karibuni sana.

MAONESHO YA KILIMO (NANENANE)Agosti 05,2026.Wananachi na Wadau mbalimbali wametembelea Banda NEEC  Kupatiwa Elimu na Fur...
06/08/2026

MAONESHO YA KILIMO (NANENANE)
Agosti 05,2026.
Wananachi na Wadau mbalimbali wametembelea Banda NEEC Kupatiwa Elimu na Fursa za Uwezeshaji katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya kilimo Dodoma.

Agosti 05,2026.Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) linaendelea kutoa Elimu kwa Wananchi na Wadau mbalimbali ka...
05/08/2026

Agosti 05,2026.
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) linaendelea kutoa Elimu kwa Wananchi na Wadau mbalimbali katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Dodoma.

Address

Nanenane Grounds
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share