04/07/2026
Wataalamu wa Sheria na Mawakili wa Wizara ya Katiba na Sheria Waendelea Kutoa Elimu kwa Wananchi Katika Maonesho ya Sabasaba
Wataalamu wa sheria na mawakili kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wanaendelea kutoa elimu ya kisheria na kushughulikia changamoto mbalimbali za wananchi katika banda la wizara lililopo kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yalioanza tangu Tar 28 mwezi Juni na kuhitimishwa Tar 13 mwezi Juli, 2026.
“Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Fahari ya Tanzania.”
Wizara ya Katiba na Sheria Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania