Pharmacy Council - Tanzania

Pharmacy Council - Tanzania We are a statutory body established under the Pharmacy Act, Cap 311 to regulate the pharmacy professionals practice and related matters.
(1)

26/08/2026

UJUMBE KUTOKA KWA MFAMASIA TUMAINI MAKOLE, MRATIBU WA BARAZA LA FAMASI KANDA YA MASHARIKI

HERI YA SIKU YA MAULID
25/08/2026

HERI YA SIKU YA MAULID

27th MEDEXPO 2026 02 - 04 SEPTEMBER, 2026
25/08/2026

27th MEDEXPO 2026

02 - 04 SEPTEMBER, 2026

HERI YA SIKU YA NANENANE
08/08/2026

HERI YA SIKU YA NANENANE

KARIBU TUKUHUDUMIE
06/08/2026

KARIBU TUKUHUDUMIE

03/08/2026

UJUMBE KUTOKA KWA BI. JOYCE KASIKI

Baraza la Famasi likiendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na matumizi sahihi ya dawa ka...
02/08/2026

Baraza la Famasi likiendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na matumizi sahihi ya dawa katika maonesho ya siku ya wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.

Maonesho haya yalifunguliwa rasmi tarehe 1 Agosti, 2026 na Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na yatafikia kilele tarehe 8 Agosti, 2026.

Baraza la Famasi limeratibu na kuendesha zoezi la  mitihani ya taaluma kwa Wafamasia 134, Fundi dawa sanifu 5000, Fundi ...
30/07/2026

Baraza la Famasi limeratibu na kuendesha zoezi la mitihani ya taaluma kwa Wafamasia 134, Fundi dawa sanifu 5000, Fundi dawa wasaidizi 196 na Watoa dawa 58 katika vituo vilivyopo mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na Dodoma.

Mitihani hiyo ilianza tarehe 29 na itamalizika tarehe 31 Julai, 2026.

UJUMBE WA LEO KWA WANATAALUMA
28/07/2026

UJUMBE WA LEO KWA WANATAALUMA

TANGAZO MUHIMU
21/07/2026

TANGAZO MUHIMU

Address

NHIF Building, 1st Floor, UDOM Road
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pharmacy Council - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share