NAZIR

NAZIR Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NAZIR, Social service, Ipuli, Ipuli.

11/04/2024

Greetings

Any body looking for Mada 🇲🇬 seeds and

All rare Africa Plant.

13/04/2020

You know what, sometimes we react the reaction .Before I was created the environment that was busy, instead of an environment that support Wealth and Abundance

05/12/2017

Hello!
Afya kitu bora sana kwenye maisha yako,je uliwahi Kujua kuwa pindi ukiugua hakuna shughuri yeyote ha uzalishaji itakayo endelea zaidi ni matumizi makubwa ya pesa, je ulishawahi sikia kuwa mifuko ya plastic maarufu k**a Rambo, na milija ya karam ,inaweza kukusababishia cancer??? . SASA ACHA KUWASHA MKAA,AU KUNI KWA KUTUMIA HIVYO VIFAA ZAIDI TUMIA BIDHAA HII, NI SALAMA NA HARAKA ZAIDI KUWASHIA MKAA / KUNI ZAKO . mawasiliano zaidi nitafute kupitia no. 0759841699 Mbeya Tanzania ,au piga namba hyo kwenye kiwashio

21/10/2017

Njia 7 za kupata pesa /mtaji SEREKARINI kwa ajiri ya kuendesha mradi/biasha au NGO's.
1. HAKIKISHA UNAKUWA NA VIGEZO HUSIKA, ni uhakika kupata pwsa serikarini kwanza hakikisha uwe RAIA halali wa nchi husika ,hasa hasa hakikisha uwe na ,kadi ya mpiga kula,driver license, au kitambulisho cha uraia.
2.FANYA UTAFITI ULIO MAKINI KUHUSU HIYO BIASHARA AU NGO's UNAYOENDA KUIFUNGUA.Mfano kwa nchi k**a Tanzania ni rahisi sana kupata pesa hyo hasa ukiomba kwa kupitia kilimo na recycling business.
3.HAKIKISHA UNAFANYA USAJIRI WA HIYO BIASHARA YAKO AU KITU AMAMBACHO ULIDREAM KUKIFANYA,ni rahisi th baada ya kufanya usajiri wa biasahara yako, hakikisha unatoa maelezo vizuri namna utaendesha biashara yako na namna gani utakuwa active kulipa kodi.
4. HAKIKISHA UNAKUWA NA VYANZO SAHIHIBVYA KUKUPA TAARIFA SAHIHI KUTOKA SEREKARINI,vyombo vya habri k**a sm ,tv radio,magazeti ya serikari fatilia sana ,itakusaidia kupata taarifa usika .
5.UMAKINI MKUBWA NA UTAYARI WAKO UWE KWA KIWANGO CHA JUU WAKATI UNATUMA MAOMBI,kumbuka unaenda kuomba fungi serekarini nakunaushindani mkubwa sasa hakikisha unakuwa na documents documents muhim ambazo zitakuwa master key ,na kuhakikisha unaingia kwenye nafasi ya kupata huo mkwanja.
6. JIANDAE KWA KUFANYA KUPRESENT HIYO BUSINESS IDEAS,k**a ikatokea inatakiwa kumake a presentation kuhusiana na hyo biashara yako ,hakikisha una ipaka paka rangi, yaani unaifanya yenyekuvutia sana ,tena hakikisha unaianda kiasi kwamba isikutengenezee maswali mengi.
7. K**A NI RAIA HAKIKISHA UWE RAIA MWEMA NDO USIWE KIVURUGE ITAKULA KWAKO,AU K**A WEW NI MWANAFUMZI NA UNAITAKA PESA YA SERIKARINI KIURAHISI PENGINE UNATAKA KWENDA SOMA NJE ,BASI FAULU KWA DARAJA LINALO STAHILI PIA KUWA NA TABIA NZURI,wewe k**a mwanafunzi basis na unatamana kupata scholarship basi njia hizi zitakusaidia

Je? Wewe ni mjasiliamali?,UA unataka kuanza biashara yako? Lakini huna mtaji, like nikuone nikupe njia sahihi na utafani...
11/10/2017

Je? Wewe ni mjasiliamali?,UA unataka kuanza biashara yako? Lakini huna mtaji, like nikuone nikupe njia sahihi na utafanikiwa ,wenzako wametoka unasubili nini?

04/10/2017

Hello whatch it

Hello,, kupendeza suna
28/09/2017

Hello,, kupendeza suna

20/09/2017

Address

Ipuli
Ipuli

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 05:00
18:00 - 19:00

Telephone

+255759841699

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NAZIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to NAZIR:

Share

Category