Tanzania_National_Buses

Tanzania_National_Buses Its all about buses �

•ULIZA WENYEJI 😂Hao Wenyeji Ndioo Kina Nani Jamani Tuambizane Mapemaa🤣
05/06/2026

•ULIZA WENYEJI 😂

Hao Wenyeji Ndioo Kina Nani Jamani

Tuambizane Mapemaa🤣

●GOLD IS WEALTH 🪙Hii Ni Dhahabu Inayotembeaaa Wakuu
21/05/2026

●GOLD IS WEALTH 🪙

Hii Ni Dhahabu Inayotembeaaa Wakuu

21/05/2026

•KUSINI NI MAPOLO TUU

Yaaani Wakurugenzi Wa Kusini Sasa Hivi Hawana La Kupoteza Kwa Kweli Yaani Wanataka Kuipendezesha Hii Nyanda za Juu Kusini Na Hizi Special Weapon Tupuu

Scania F360 Turbo Compound 🔥🔥🔥🔥 Ni Apo Mbeyaa Mjini Na Chunya Hadi Makongorosi

Ina Maana Hizi ESA Tayari Zipo Kwenye Chat Tayari Tuuuzie Watu Wanasumbua Huku Bhana Chunya Hamna Polo Aisee😂😂😂

Tuwahi Zetu Na Chunya Na X1200 🔥😂

●ZA KIJANI ZIMEFIKA Ogopaaa Sana Ayaa Ma New  Force Ya Kijani 😂😂😂Ayaaa Bhaanaa Ni Balaaa Na Yanakula Table Ya G1 Ayaaa M...
19/05/2026

●ZA KIJANI ZIMEFIKA

Ogopaaa Sana Ayaa Ma New Force Ya Kijani 😂😂😂Ayaaa Bhaanaa Ni Balaaa

Na Yanakula Table Ya G1 Ayaaa Mapema Saana Pale Border Na Viunga Vyake Tukutane Uyole Sasaa🔥🔥🔥

●CHUNGWA KUU Mkurugenzi Anataka Kutuonesha Yeye Ndio Baba Wa Hizi Dragon Habahatishiiiii Kabisaaa Kwenye Kazi Yake Tukae...
18/05/2026

●CHUNGWA KUU

Mkurugenzi Anataka Kutuonesha Yeye Ndio Baba Wa Hizi Dragon Habahatishiiiii Kabisaaa Kwenye Kazi Yake

Tukae Tutulie Kabisaa Tukingojea Juisi Tamuuu Ya Machungwa Mkurugenzi Kutoka . Anataka Wooote Tupate Vitamini C

Tupokeee Hizo Xiamen Golden Dragon...Mwaga Moto K**a Dragon 🔥🔥🔥

09/05/2026
30/04/2026

●KUTOKA MAKTABA

Kipindi Icho Miaka Ya 2010 Chuma Zikiwa Aljazeera Ruaha Mbuyuni Chimba Dawa

Hood Za Mbeya Dar,Kuna Hood Ya Mbeya Arusha Ndio Inatoka Pale Mbele Ishawaleta Wotee Haooo

Kuna Sumry Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini,Kuna Abood Apo Ya Kutoka Mbeya Mjini Pia Uelekeo Dar

Na Apo Wakizubaaa Tuuu Abood Na Hood Panyabuku Za Kutoka Tunduma Zinawafumaaa Hizo Zilikuwa Masaa Ya Kufaa Mtuuu 🔥🔥🔥 Apo Ilikuwa Inapona Hood Ya Mbeya Arusha Tuuu

Ilaa Zamani Ilikuwa Raha Saaaana Aiseee 😂😂

Sasa Hivi Gari Mbona Haziendi Aiseeee

23/04/2026
●NAULI MPYA Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtan...
18/04/2026

●NAULI MPYA

Kiwango Cha Nauli Mpyaa Kutokana Na Umbali Husika Kuanzia Ruti Za Mabasi Makubwa,Mabasi Madogo Na Teksi Mtandao

●WAKORAA WAITUUWahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Ch...
18/04/2026

●WAKORAA WAITUU

Wahaya Ndio Waasisi Wa Polo Naona Polo Zimeingiaa Wataalamu Wa Hizi Kazi

Tuwahi Bukoba Na Hizi Polo Za Choo

Marcopolo Paradiso X1200
Scania F360

Address

Ngome
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania_National_Buses posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania_National_Buses:

Share

Category