20/02/2025
Kikundi cha victoria GROUP kahama kimeshikiri kuokoa maisha ya watu wanaopoteza maisha kwa kukosa damu,
Zoezi hilo la uchangiaji damu limefanyika katika hospitali ya maspaa ya kahama
Ikumbukwe hospital zetu zina uhitaji mkubwa wa damu, na damu hiyo haitoki kwa mnyama Bali kwa mwanadamu, na mwanadamu huyo ni mimi na wewe
damu Okoa maisha
KAHAMA MUNICIPAL 🇹🇿 Kahama Town SHINYANGA SCHOLARS SAMIA SULUHU RAIS MKOPO TANZANIA TUNDU LISSU Uchaguzi Mkuu 2025 CCM Tanzania
UMOJA WETU NGUVU YETU TAIFA LETU