26/06/2023
Jinsi ya kutuma maombi(application) ya mafunzo ya ualimu
*NIMEKAA KWENYE COMPUTER*🖥️
Nafanya application za vyuo vya ualimu Kwa vijana wanaotaka Kujiunga. Nitumie taarifa zifuatazo nikusaidie:
1.Index no ya form 4
2.mwaka wa kuhitimu Form 4
3. Tarehe ya kuzaliwa
4.Mkoa, wilaya, na anuani ya makazi unapoishi
5.kozi unayotaka kusomea
*Mawasiliano*
0765454416
0622229655