ACDM NCA Partner

ACDM NCA Partner Community Association makes perfect.

Kilosa Inter-religious Vicoba Association, is registered as Community Based Organization , its members are IR VICOBA formally registered groups from Kilosa and Mvomero Districts. This Association is lead by Anglican Church Diocese of Morogoro under the support of Norwegian Church Tanzania.The project implemented within the association communities are Small Holders Innovation Empowerment(SHE) and F

ighting Inequality. The project supports communuty initiatives based on adapting Climate change effects while investing on Agribusiness projects.

Katika kuelea kwenye maazimisho ya Mazingira Dunia leo tumeshirikians na uongozi wa Serikali kijiji ikiongozwa na Zmh Di...
03/06/2026

Katika kuelea kwenye maazimisho ya Mazingira Dunia leo tumeshirikians na uongozi wa Serikali kijiji ikiongozwa na Zmh Diwani wa Kata ya Magole katika kampeni ya upandaji miti katika Zahanati inayojengwa kijiji cha Mandela pamoja na Ofisi ya Serikali ya Kijiji.
Zoezi hili limeratibiwa na kikundi cha Mazingira ambacho kiliandaa kitalu cha miche zaidi ya 300 ambayo imepandwa leo katika maeneo husika na mingine kugawiwa kwa wananchi walijitokeza kushiriki kampeni hii ya mazingira ikiwemo na kusafisha(Kufyeka) eneo la Zahanati na kuchimba choo cha Dharula kitakacho tumika kipindi cha ujenzi .
Kupitia Program ya Mazingira na uwakili(Climate abd Environmental Stewarship-CES) inafadhiliwa ba kuelekea kupitia Vikundi vya huduma ndogo za Kifedha(IR-VICOBA) wanajamii wameendelea pia na ujenzi wa majiko bsnifu na Sanifu ili kukabiliana na Athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuendsna ba kauli mbiu ya mwaka inayosema “Hatua Dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi”

Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (World Environment Day )yatakayofanyika tarehe 5 Juni, tumeanza...
29/05/2026

Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani (World Environment Day )yatakayofanyika tarehe 5 Juni, tumeanza kampeni ya uhamasishaji kuhusu utunzaji wa mazingira, upandaji wa miti pamoja na utengenezaji wa majiko banifu na sanifu ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazosababishwa na ukataji hovyo wa miti.

Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kauli mbiu ya mwaka huu isemayo: “Tuchukue hatua kwa ajili ya tabianchi na mazingira yetu,” leo DDSCDO kwa kushirikiana na mwakilishi kutoka NCA Tanzania kupitia Programu ya Mazingira na Uwakili (Climate and Environmental Stewardship – CES) tulifika Wilaya ya Kilosa kukutana na Afisa Misitu wa wilaya kwa ajili ya kushirikiana katika zoezi la upandaji miti kwenye vijiji vya mradi pamoja na maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kilosa.

Kupitia vikundi vya IR-CMG ambavyo ni msingi wa utekelezaji wa mradi wetu, waratibu wa miradi, wakulima viongozi wa ngazi ya jamii pamoja na mafundi wa majiko wataendelea kuhamasisha jamii kwa kutoa elimu zaidi kuhusu utunzaji wa mazingira, utengenezaji wa majiko banifu na sanifu, pamoja na kuendeleza zoezi la upandaji miti katika ngazi ya jamii.

Kikao cha pamoja na Wakuu wa Wilaya kilifanyika kwa lengo la kutoa mrejesho wa mafunzo ya kukabiliana na majanga yaliyow...
18/03/2026

Kikao cha pamoja na Wakuu wa Wilaya kilifanyika kwa lengo la kutoa mrejesho wa mafunzo ya kukabiliana na majanga yaliyowezeshwa na Norwegian Church Aid Tanzania kwa kushirikiana na Kanisa Anglikana Dayosisi ya Morogoro.

Malengo ya kikao hicho yalikuwa ni:
1. Kujitambulisha rasmi kwa ofisi husika kuhusu ushiriki wa DDSCDO-Kupitia Kanisa Anglikana Dayosiai ya Morogoro katika juhudi za kusaidia Serikali katika maandalizi na mwitikio wa dharura ya majanga, hususan mafuriko katika maeneo ya Wilaya ya Mvomero.
2. Kuwasilisha mrejesho wa awali wa mafunzo yaliyofanyika tarehe 13–14 Machi 2026, ambayo yalilenga kuimarisha uratibu na ushirikiano kati ya wadau katika kukabiliana na majanga.
3. Kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya DDSCDO na Serikali ya Wilaya pamoja na Halmashauri ili kuhakikisha hatua za maandalizi na mwitikio wa majanga zinafanyika kwa uratibu na ufanisi.

Katika kikao hicho, pia tulijadiliana kwa kina namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya wadau mbalimbali pamoja na kubainisha mahitaji muhimu ya msingi kwa wananchi waliopo katika kata zilizoathirika na mafuriko katika Wilaya za Kilosa na Mvomero. Aidha, tulitambua baadhi ya kata zilizoathirika zaidi, zikiwemo Doma, Mhonda na Sungaji (Mvomero), pamoja na Tindiga, Mhenda na Myombo (Kilosa).

Day 2 – Orientation on Emergency Preparedness and Flood Response in Morogoro RegionToday we continued with Day 2 of the ...
14/03/2026

Day 2 – Orientation on Emergency Preparedness and Flood Response in Morogoro Region

Today we continued with Day 2 of the Orientation Program on Emergency Preparedness and Flood Response organized through the collaboration between NCA and the Anglican Church Diocese of Morogoro. The training focused on strengthening the capacity of local stakeholders to respond effectively to emergencies, particularly flooding, which continues to affect many communities in Morogoro.

The orientation brought together representatives from several Local Government Authorities (LGAs), including Kilosa, Gairo, Mvomero, and Morogoro Municipal. These are key areas where our Economic Empowerment Programmes are currently being implemented, with a strong focus on food security and waste management as part of building resilient communities.

Using the latest data and seasonal outlook from the Tanzania Meteorological Authority (TMA), the training emphasized the growing risks of flooding in Morogoro due to the area’s geographical characteristics and recurring heavy rainfall patterns. Participants discussed practical strategies for early preparedness, coordinated response, and community awareness to reduce the impact of floods on livelihoods, infrastructure, and food systems.

This orientation is an important step toward building stronger partnerships between faith-based institutions, local governments, and community programs to ensure timely, organized, and effective emergency response in Morogoro and surrounding districts.

Address

Dumila Township Kilosa
Morogoro

Telephone

0756966886

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ACDM NCA Partner posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category