Rafiki wa Watoto Tanzania

Rafiki wa Watoto Tanzania Karibu tulee pamoja.

RWT ni shirika linalojihusisha na maswala mtambuka yawahusuyo watoto; hii ni pamoja na makuzi na malezi, kuwalinda na kuwasaidia watoto ili kufikia malengo yao.

Kila wazazi/walezi/walimu wa watoto tupatapo nafasi ya kuwafanya watoto wetu wawe na furaha, tusisite kufanya hivyo...tu...
21/05/2025

Kila wazazi/walezi/walimu wa watoto tupatapo nafasi ya kuwafanya watoto wetu wawe na furaha, tusisite kufanya hivyo...tuwafanye wafurahi matokeo yake watatufurahisha na sisi wakati tunaihitaji zaidi furaha yao. Hapa watoto wako ktk igizo kila mmoja akifurahia nafasi yake.

28/10/2024

Zama hizi za Sayansi na Teknolojia zaweza kuwa baraka au laana kwa watoto wetu, kazi ni kwangu na kwako kuchagua na kumwelekeza mtoto katika njia itakayomfanya kuwa salama.

Address

Mazimbu
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rafiki wa Watoto Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category