Malinyi Yetu Fahari Yetu

Malinyi Yetu Fahari Yetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Malinyi Yetu Fahari Yetu, Social service, Malinyi, Morogoro.

MWANAFUNZI NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.Ni haki ya kila mwanafunzi mwenye sifa Kujiandikisha na kushiriki uchaguzi w...
19/10/2024

MWANAFUNZI NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Ni haki ya kila mwanafunzi mwenye sifa Kujiandikisha na kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ewe Mwanafunzi mwenye sifa (Miaka18+) nenda kajiandikishe, uwaambie na wenzako wakajiandikie.

Ewe mtanzania hamasisha wanafunzi wakajiandimishe pia ili washiriki uchaguzi.


.

KIJANA NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.Kuanzia tr10 Nov hadi tr 20 Nov ni zoezi wa uandikishaji wa daftari la wakaazi,E...
11/10/2024

KIJANA NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Kuanzia tr10 Nov hadi tr 20 Nov ni zoezi wa uandikishaji wa daftari la wakaazi,

Ewe kijana na mtanzania kwa ujumla, jiandikishe katika daftari za wakazi katika kitongoji/mtaa wako wako unaoishi ili upate haki ya kushiriki uchaguzi wa serikari za mitaa tr 27 novemba 2024.

Address

Malinyi
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Malinyi Yetu Fahari Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category