daxsamjr

daxsamjr Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from daxsamjr, Social service, Maliasili Mwanga, Moshi.

Jukwaa la mambo ya kijamii, Michezo, pamoja na kupeana taarifa juu ya Mazingira, Haki za binadamu, utunzaji wa Bioanuai na Mambo mengine ya kiuchumi na maendeleao ya jamii k**a Uongozi, siasa Safi na Biashara za mitandao
karibuni sana

The Young EUFA Player of the Week
27/11/2025

The Young EUFA Player of the Week

SAIDO Ntibazonkiza ni Mnyama.... Kila lenye heri katika maisha mapya
24/12/2022

SAIDO Ntibazonkiza ni Mnyama.... Kila lenye heri katika maisha mapya

Chelsea yamalizana na Mshambuliaji mfaransa Christopher Nkunku kutoka RB Leizipig kwa dau la £53 na Mshahara mzuri sana....
17/12/2022

Chelsea yamalizana na Mshambuliaji mfaransa Christopher Nkunku kutoka RB Leizipig kwa dau la £53 na Mshahara mzuri sana....via Fabrizio Romano

MAN UNITED wavunja mkataba kwa makubaliano ya pande zote mbili katika yao na Mchezaji wao Ronaldo....Ujumbe rasmi wa Kla...
22/11/2022

MAN UNITED wavunja mkataba kwa makubaliano ya pande zote mbili katika yao na Mchezaji wao Ronaldo....Ujumbe rasmi wa Klabu ya Man United inasomeka Kubwa wanamshukuru Mchezaji huyo kwa vipindi viwili avyoitumikia timu hiyo

The Glory Time is over MGUNDA..jiandae kusagiwa kunguni na Mashabiki..Rudi ukapekue Tena  notes za CAF GRADE A... Huenda...
27/10/2022

The Glory Time is over MGUNDA..jiandae kusagiwa kunguni na Mashabiki..Rudi ukapekue Tena notes za CAF GRADE A... Huenda ukapona..
Huu ndio mpira

22/10/2022

KWA YANGA na SIMBA HIZI LABDA MCHAWI REFA...!!
Mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na ukanda wote wa Africa Mashariki na Kati K**a sio Africa nzima kesho Wataelekeza macho Yao Uwanja wa Ben Mkapa Maarufa k**a Lupaso.
Mchezo huu unakuja kipindi ambacho timu zote zikiwa vizur sana Kiufundi na Haxina Majeruhi Wala adhabu nyingi ambazo zinaweza kuathiri ubora wa timu husika.
Kesho tarehe 24/10/2022 tutegemee kuona mbungi kali sana ikisakatwa pale Jiji la Dar es Salaam .
Pamoja na kwamba Young Africans Sports Club wametolewa Klabu Bingwa Huku mtani wake Simba SC Tanzania akifuzu kucheza hatua ya Makundi ya , Bado Yanga atawapa Simba mtihani mgumu sana ndani ya Dakika 90 Kwa kuwa hata kutolewa kwao haikuwa ni sababu ya Ubovu wa timu ila Kuzidiwa mbinu tu...
Kwangu mimi, ukiondoa makando kando ya Mchezo wa Derby nategemea kuona Moja ya game nzuri yenye Viwango Kwani Kila timu IPO vizuri ukilinganisha na michezo mingine ya hivi karibuni waliyokutana.
Nusu fainali ya Azam Federation pale Mwanza Simba alikuwa na Majeruhi wengi, na Yanga alikuwa kwenye peak...Ngao ya hisani Simba alipigwa akiwa na idadi kubwa ya wachezaji Wageni akiwa Hana combination nzuri baada ya kutoka pre season...na Yanga akiwa Vizur sana hasa upande wa umaliziaji Fiston Mayele akaweka goli mbili bila majibu ..hukua akiipasua ngome ya uliinzi ya Simba, Kwa mara ya Kwanza tukashuhuidia INONGA BAKA akiwa na MOHAMED OUTARRA wakikosa utulivu na umakini.
JE Kesho itakuwaje??
NI VITA pia ya Makocha Juma Mgunda na prof Nabi wakikutana Huku mbinu zao ndio zinategenmewa kushinda mchezo..JE Mgunda ataendelea kuwa mteja Kwa Nabi? Ama Nabi ataweza kukubali kuvunjiwa Heshima ya kutokupoteza mchezo kwenye Ligi Toka mwaka Jana??
Tusubiri tuone mpira wa uhakika.
Prep: DUMALIGA JR!!!

17/10/2022

Ally Kamwe anajukumu zito la Kuwatumia Mashabiki wa Young Africans Sports Club Ili kuwafanya Wachezaji wa Yanga wajue kuwa wanaowapigania ni mashabiki

Mzungu wa Simba amedhibitisha kuvunja mkataba na Klabu ya Simba Baada ya alichokieleza kutokutimizwa Kwa baadhi ya vifun...
28/09/2022

Mzungu wa Simba amedhibitisha kuvunja mkataba na Klabu ya Simba Baada ya alichokieleza kutokutimizwa Kwa baadhi ya vifungu vya mkataba.. kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameeleza hivyo.

Simba SC Tanzania versus Nyasa Big Bullets
18/09/2022

Simba SC Tanzania versus Nyasa Big Bullets

Karibu darajani Potter, New Chelsea head Coach
09/09/2022

Karibu darajani Potter, New Chelsea head Coach

Malkia Elizabeth amefariki Dunia Leo akiwa na miaka 96..Rest in erternal peace
08/09/2022

Malkia Elizabeth amefariki Dunia Leo akiwa na miaka 96..Rest in erternal peace

05/09/2022

KIKOSI CHA CHELSEA UEFA 2022/23
CONFIRMED: Chelsea's 2022/23 Champions League squad:

Goalkeepers: Kepa Arrizabalaga, Edouard Mendy, Marcus Bettinelli.

Defenders: Thiago Silva, Trevoh Chalobah, Ben Chilwell, Reece James, Kalidou Koulibaly, Cesar Azpilicueta, Marc Cucurella, Wesley Fofana

Midfielders: Jorginho, N'Golo Kante, MateoKovacic, Mason Mount, Denis Zakaria, Conor Gallagher, Carney Chukwuemeka, Ruben Loftus-Cheek.

Forwards: Raheem Sterling, Christian Pulisic, Hakim Ziyech, Kai Havertz, Pierre-Emerick​ Aubameyang.

[ UEFA ]

Goodluck lads. 🌟

Address

Maliasili Mwanga
Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when daxsamjr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to daxsamjr:

Share

Category