08/05/2023
Kutana na Mwalimu Leonida. Ni miongoni mwa walimu bora na wenye kujituma katika Shule ya Awali na Msingi Savvy Brain Mwanza .
Anajisimamia katika shughuli zake. Ana upendo mkubwa na mwenye kujali watoto.
Shule yetu inajivunia utumishi wake uliotukuka, uvumilivu na ubunifu wake wa Hali ya juu sana katika kuhudumia watoto shuleni kwetu.
Mungu akutangulie katika kazi zako na akuongoze daima Madam.
Ndugu Mzazi/Mlezi unasubiri nini kumleta mtoto wako katika shule yetu ili aweze kufundishwa na walimu wazoefu na wenye vipaji k**a huyu Mwalimu Leonida?
Karibu sana na hutajutia uamuzi wako.