Jimbo la Ngara

Jimbo la Ngara KARIBU NGARA HUU NI UKURASA MAALUM KWA HABARI ZA JIMBO LA NGARA

10/11/2021
10/11/2021
10/11/2021
30/09/2021
30/09/2021
30/09/2021
28/09/2021

Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndugu. Ndaisaba George Ruhoro, leo tarehe 28 mwezi wa 9 amefanya ziara ya kuwatembelea Wahanga wa Mafuriko ya Maji yalio...

MHESHIMIWA NDAISABA GEORGE RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA AUNGA MKONO JITIHADA ZA WANANCHI WA CHIVU KWA SHILINGI LAKI ...
08/09/2021

MHESHIMIWA NDAISABA GEORGE RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA AUNGA MKONO JITIHADA ZA WANANCHI WA CHIVU KWA SHILINGI LAKI 5.*

Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro ametoa Kiasi cha Shilingi Laki 5 k**a sehemu ya kuunga mkono jitihada za Wananchi wanaochangia Ujenzi wa Nyumba za Walimu katika Shule ya Msingi Chivu kata ya Ntobeye

Mheshimiwa Ndaisaba,amewasilisha Mchango wake kupitia kwa Katibu wake Ndugu Juventus Juvenary katika Mkutano wa Wananchi na Diwani wao uliofanyika Kwenye Kitongoji cha Mulukoli,Chivu.

Mchango huo wa Mheshimiwa Mbunge ni ahadi aliyoitoa hivi karibuni wakati wa ziara yake akiwa jimboni.

Mchango umepokelewa na Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Ntobeye Sunday Mukozi na Kukabidhiwa kwa Wananchi

Wananchi waliokuwa kwenye Mkutano huo wamempongeza Mbunge wao kwakuendelea kuaminika kwa kufanya kazi,kujitoa kuchangia maendeleo na kutimiza ahadi alizoahidi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mkuu uliopita.

28/08/2021

Address

Ofisi Ya Mbunge Wa Jimbo La Ngara SLP 2
Ngara
POBOX2

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jimbo la Ngara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jimbo la Ngara:

Share