21/06/2023
YANGA WAKIMBAKISHA MAYELE NA DIARA WANAWEZA KUFIKA FAINALI KLABU BINGWA MSIMU UJAO
NI WACHACHE SANA WANAWEZA KUAMINI K**A MIMI LAKINI INAWEZEKANA,UKITAZAMA TIMU NYINGI ZINAZOITWA KUBWA BADO UNAONA ZINAFUNGIKA VIZURI TU K**A UNA TIMU YAKO ILIYOSHIK**ANA VEMA BILA KUJALI UKUBWA WAO
ĆKIWATAZAMA YANGA KWENYE TIMU YAO WAMESHIK**ANA MNO UKIANZIA KWA DIARA KUMALIZIA KWA MAYELE, LAKINI HAWA WATU WAWILI WANAFANYA YANGA KUWA K**A WAMEZIDI UWANJANI
MAYELE MMOJA ANAECHEZA ENEO LOTE LA MBELE LINAFANYA BEKI ZOTE ZA UPINZANI KUKOSA UTULIVU KWA UWEPO WAKE HII INAFANYA KUANZIA KIUNGO WA UKABAJI WA UPINZANI KURUDI NYUMA WANASHINDWA KUPANDA KUSAIDIA TIMU ZAO HII NDIO MAANA UKIANGALIA YANGA MARA NYINGI WANAWAZIDI WAPINZANI UMILIKI WA MPIRA NA WANATOKA NA CLEEN SHEETS NYINGI MANA HAWASHAMBULIWI SANA,HIVYO HII NI SILAHA AMBAYO YANGA WANATAKIWA KUHAKIKISHA WANABORESHA MASLAHI YAKE IBAKI JANGWANI
LAKINI PIA KWA DIARA ANAPOKUA NA MPIRA GOLINI KWAKE SI MARA NYINGI WAPINZANI WANAENDA KUMSHAMBULIA HII NI KWA SABABU YA FOOTWORK NZURI ALIYO NAYO INAFANYA WAPINZANI KUHOFU KUMFATA MAANA NI MZURI WA KUPIGA MIPIRA YA HATARI MNO MNAPOMSHAMBULIA HIYO AMEFANYA MARA NYINGI MFANO NI DHIDI YA SIMBA KOMBE LA F.A MSIMU ULIOPITA HII INAFANYA WASIPOKUJA WAPINZANI AKIWA NA MPIRA MUDA UNAPOTEA HASA TIMU YAKE IKIWA MBELE NA UTULIVU KUONGEZEKA KWA WENZIE UWANJANI HIVYO NI SILAHA MUHIMU INAYOTAKIWA YANGA WAILINDE KWA GHARAMA YOYOTE
KWA KUMALIZIA WAARABU WANA WACHEZAJI WALIOWAGHARIMISHA LAKINI NI WA KAWAIDA MFANO KINA MIQUSONE,BWALYA,SAMBOULY NA WENGINE LAKINI NI WA KAWAIDA WANAFUNGIKA VIZURI TU NDIO MANA UKIMCHUKUA MAYELE NA WASHAMBULIAJI WOTE WANAOCHEZA AFRIKA KWENYE HIVYO VILABU VIKUBWA BADO 3 BORA HUMTOI,THE SAME DIARA KWA MAKIPAš
TUCHAMBUE MPIRA K**A FURAHA YETU SIO MATUSI
NI Mkanza
Wa Kanza
Kwa Wakanza