PROF Kezilahabi Archives

PROF Kezilahabi Archives tunu zetu zinahifadhiwa na kuendelezwa kupitia ushairi na riwaya za waandishi mahiri wanaotumia lugha fasaha ya kiswahili tujifuze riwaya na ushairi

02/06/2020
21/11/2019

Wanahitajika kungwi wa kughani na kutunga mashairi yatakayokidhi vigezo vya kuhakikiwa na wanafunzi wa kidato cha NNE na sita. Shairi moja ni dola 250$ za kimarekani!

WALIMU HAWA WENYE MSIMAMO THABITI JUU YA TAMADUNI ZETU NDIO HUITWA WANOKO MASHULENI. Nini mtazamo wako juu hili........
12/06/2019

WALIMU HAWA WENYE MSIMAMO THABITI JUU YA TAMADUNI ZETU NDIO HUITWA WANOKO MASHULENI. Nini mtazamo wako juu hili........

DUNIA SINIAPAKUA UNACHOWEZAUTANDAWAZI NI NGONJERA ISIYO NA HADHIRA..
09/03/2019

DUNIA SINIA
PAKUA UNACHOWEZA
UTANDAWAZI NI NGONJERA ISIYO NA HADHIRA..

Tanganyika yetu Ilijengwa juu ya msingi imaraWa UMOJA NA USHIRIKIANO..Katika jamii ile ilioheshimu utu na Uhuru wa kila ...
17/02/2019

Tanganyika yetu
Ilijengwa juu ya msingi imara
Wa UMOJA NA USHIRIKIANO..
Katika jamii ile ilioheshimu utu na Uhuru wa kila mmoja wao # # # # #
TUKUMBUKE PEPO YETU......

07/02/2019

IN AFRICA, DEMOCRACY IS........... "The government of the some, by the some and for the some..........
Waafrika tujiulize tunafeli wapi?

07/02/2019

KUISHI NI KUFA TARATIBU

Wako wapi watoto wale Wa mama ntilie
30/12/2018

Wako wapi watoto wale
Wa mama ntilie

Ni vizuri tujifunze kitu kutoka katika silika ya malezi na makuzi ya kuku
09/12/2018

Ni vizuri tujifunze kitu kutoka katika silika ya malezi na makuzi ya kuku

Its true
26/11/2018

Its true

Address

Singida

Telephone

+255765744067

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PROF Kezilahabi Archives posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share