Mtumishi Emanuel

Mtumishi Emanuel Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtumishi Emanuel, Public Service, Kilimanjaro, Tanga.

KILA MKONO MBAYA Ulionyooshwa juu yako kukudhuruKukuletea magonjwaKukuletea mafarakano, kwenye ndoa yako, mahusiano yako...
22/07/2025

KILA MKONO MBAYA
Ulionyooshwa juu yako kukudhuru
Kukuletea magonjwa
Kukuletea mafarakano, kwenye ndoa yako, mahusiano yako,
Kila mkono wa chuma ulete kwenye kazi yako, kwenye mifuko yako
KWA JINA LA YESU TUNAUKATA,
HAUTAFANIKISHA MAKUSUDI YAKE JUU YAKO,
k**a unaaamini pokea kwa jina la Yesu 🙏

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Maombezi Whatsapp 📲+255675791115

*MAOMBI YA KUVUNJA ROHO YA KUCHELEWA KUOLEWA* NA KUFANIKIWA💥💯           🙏OMBA MAOMBI HAYA🙏  1. Chochote kilicho ndani ya...
22/07/2025

*MAOMBI YA KUVUNJA ROHO YA KUCHELEWA KUOLEWA* NA KUFANIKIWA💥💯

🙏OMBA MAOMBI HAYA🙏

1. Chochote kilicho ndani yangu kinachonizuia kuolewa, kiangamizwe kwa jina la Yesu. (Omba hili kwa umakini)

2. Baba, nitoe katika gereza hili la kucheleweshwa kwa ndoa kwa jina la Yesu

3. Roho Mtakatifu kwa moto, ng'oa kila mbegu ya kuchelewa kwa ndoa katika maisha yangu kwa jina la Yesu

4. Roho Mtakatifu kwa damu ya Yesu, futa kila alama ya kukataliwa na kukatisha tamaa maishani mwangu kwa jina la Yesu.

5. Ninaharibu kila nguvu ya msingi inayopinga makazi yangu ya ndoa kwa jina la Yesu.

6. Ninapinga kila nguvu isiyoonekana inayopinga makazi yangu ya ndoa kwa jina la Yesu

7 Kila nguvu iliyo nyuma ya kucheleweshwa kwa ndoa yangu, ikatwe na kuangamizwa kwa jina la Yesu

8. Ninalemaza kila utendaji wa nguvu yoyote ya kiroho inayosimama dhidi ya makazi yangu ya ndoa kwa jina la Yesu.

9. Baba chochote unachohitaji kubadilika ndani yangu na karibu yangu ili hatima yangu ya ndoa ianzishwe, ibadilishe kwa jina la Yesu.

10. Yesu inuka, vunja kila agano la kuchelewa kwa ndoa katika maisha yangu kwa jina la Yesu

11. Ee Bwana Mungu wangu, utukufu wako uwe juu yangu utakaovutia mwanaume/mwanamke sahihi katika maisha yangu kwa jina la Yesu.

12. Ninaangusha mamlaka juu ya uchawi wote ambao umetolewa dhidi ya nyota yangu ya ndoa. Kwa jina la Yesu.

13. Ninaangusha mamlaka juu ya kila uaguzi mbaya ambao umeachiliwa dhidi ya hatima yangu ya ndoa Katika jina la Yesu.

14. Ninafuta kila laana na tamaa mbaya ambayo imeachiliwa dhidi ya ndoa yangu Kwa jina la Yesu.

15. Ninahukumu katika hukumu kila ulimi mbaya unaonena dhidi ya utukufu wa ndoa yangu tangu kuzaliwa. Kwa jina la Yesu.

16. Ee Bwana Mungu wangu. Inuka kwa ajili yangu sasa. Na kuua kila shughuli ya nyoka wa kishetani na ng'e, iliyofanywa dhidi ya ndoa yangu. Kwa jina la Yesu.

17. Kuanzia leo. Ninavunja ushawishi wa laana zozote zinazosemwa juu ya kibali changu cha ndoa. Kwa jina la Yesu.

18. Kwa upanga wa Bwana, ninainuka na kuharibu kila mnyanyasaji mbaya katika ndoa yangu. Kufa kwa moto sasa. Kwa jina la Yesu.

19. Kwa upanga wa Bwana, ninainuka na kuharibu kila mdanganyifu wa kishetani anayefanya kazi dhidi ya mafanikio yangu ya ndoa. Kwa jina la Yesu.

20. Laana zote zinazosumbua utukufu wangu wa ndoa, rudi ulikotoka kwa moto sasa. Kwa jina la Yesu.

• UFUNGULIWE SASA kwa JINA LA YESU

Mtumishi Emanuel Whatsapp +255675791115🙏

Kutoka 34:15-16[15]Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sada...
31/03/2025

Kutoka 34:15-16
[15]Usije ukafanya agano na wenyeji wa nchi, watu wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, na kuitolea sadaka miungu yao; mtu mmoja akakuita, ukaila sadaka yake.
[16]Ukawaoza wana wako binti zao, nao binti zao wakaenda kufanya uzinzi na miungu yao, wakawavuta wana wenu wafanye uzinzi na miungu yao.

DALILI 31 ZA MAJINI_MAHABA👹 ZINAVYO FUNGA MAHUSIANO/NDOA NA MAFANIKIO. 1️⃣.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima h...
30/03/2025

DALILI 31 ZA MAJINI_MAHABA👹 ZINAVYO FUNGA MAHUSIANO/NDOA NA MAFANIKIO.

1️⃣.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba

2️⃣.Kitu kucheza tumboni k**a mtoto..
3️⃣.kuchukiwa na watu bila sababu yoyote, na kila ufanyalo wanaona ni baya tu.
4️⃣.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote
5️⃣.Kupenda kujitenga na watu
6️⃣.kuwa na hofu kupita kiasi..

7️⃣.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae (s*x/ngono) kwa njia ya ndoto...

8️⃣.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuahidiwa tu, nitakuoa/tutaowana, lakini huoi wala huolewi.

9️⃣.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa

➡️Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka sahihi ya ndoa

1️⃣0️⃣.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita.

1️⃣1️⃣.Kulazimisha kuoa au Kuolewa na bado ndoa inakuwa ngumu,

1️⃣2️⃣.Kukimbiwa na wachumba..bila sababu ya kueleweka hata ukiwauliza hawana sababu zaidi unajifariji kuwa hawakuwa sahihi na wakati wa Mungu bado kumbe unavifungo.

1️⃣3️⃣.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa.

1️⃣4.Ugomvii ,migogoro na mwenza wako. Cha ajabu akiwa mbali una mmiss unatamani awe karibu na wewe,, akifika unatamani aondoke tu....

1️⃣6️⃣Kuwa na hasira Kali Sana, hasa unapoamka asubuhi...

Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, ukipona P.I.D,Fangas U.T.I. mala Uvimbe kwenye kizazi, hizo zote ni mbinu za (jini mahaba) hutumia kukufunga..

1️⃣9️⃣.Kukosa hamu kabisa ya tendo landoa na mume/mke, wakati homon zako ziko sawa.
Unasingizia kuwa ni saikolojia issues, kwa sababu uliumizwa unahitaji mtu akuelewe.

2️⃣0️⃣Migogoro isiyoisha na isiyo na sababu ya maana katika mahusiano au ndoa

2️⃣1️⃣Kuchukia kabisa Kuoa /Kuolewa

2️⃣2️⃣Kuota unalea watoto/mtoto

2️⃣3️⃣.Kuota unanyonyesha

2️⃣4️⃣Kuota umejifungua

2️⃣5️⃣.Mimba kutoka

2️⃣6️⃣Kuota unafanya s*x
2️⃣7️⃣.Kuota unaolewa/kuoa
2️⃣8️⃣Kuota unafunga ndoa
2️⃣9️⃣Kuchukiwa au kuchukia mme/Mke

3️⃣0️⃣Huwezi kumpa mimba mkeo lakini michepuko inabeba mimba zako.
Huwezi kubeba mimba ya mumeo lakini ya michepuko unabeba.

3️⃣1️⃣ Huyu jini ana tatizo la kufunga uchumi pia, anakupa uvivu wakutopenda kufanya kazi kabisa. Ukishika pesa hujui zimetumikaje lakini zimeisha.
SEMA BWANA_YESU NIOKOE NA ROHO YA JINI MAHABA


+255675 791 115

+25675 791 15 WHATSAP
✍️By Mtumishi Emanuel 💥

Niandikie ujumbe messenger majina yako mahali unaishi, namba ya cm na mahitaji yako nikuombe🙏

Isaya 42: 22JUMAPILI HII NI MAOMBI MAALUM YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WAT...
10/12/2022

Isaya 42: 22
JUMAPILI HII NI MAOMBI MAALUM YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WATEJA💥) (NDOA❣ILIYO POTEZA UPENDO💓) (MAHUSIANO YALIYO POTEZA MALENGO🤝) (KUINULIWA KIUCHUMI💸) (KAZI ILIYO POTEA🤦‍♀️) (TUMBO LISILOWEZA KUBEBA MTOTO) Yote yatarejeshwa kwa jina la Yesu🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

06/12/2022
Nakutabilia kuongezeka kiuchumi kwa jina la Yesu 💥 Pokea pesa kutoka kila pembe ya dunia kwa jina la Yesu 🙌💸💯
06/12/2022

Nakutabilia kuongezeka kiuchumi kwa jina la Yesu 💥 Pokea pesa kutoka kila pembe ya dunia kwa jina la Yesu 🙌💸💯

Address

Kilimanjaro
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtumishi Emanuel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category