18/08/2022
FEI international,
Hii ni taasisi yenye malengo ya kutoa Elimu kwa jamii, habari na kuunganisha Uma katika ulimwingu wa fursa katika nyanja mbalimbali K**a vile kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa kizingatia ndoto na malengo ya mtu. Nawakaribisha wote kwa MAWAZO na michongo ya fursa.