Halmashauri ya Mji Tarime

Halmashauri ya Mji Tarime Ukurasa maalumu wa Halmashauri ya mji Tarime mkoani Mara, Tanzania.

Timu ya mpira wa miguu toka Idara ya Afya Halmashauri ya Mji Tarime imeifunga 3-0 timu ya Mpira wa Miguu toka benki ya N...
06/09/2026

Timu ya mpira wa miguu toka Idara ya Afya Halmashauri ya Mji Tarime imeifunga 3-0 timu ya Mpira wa Miguu toka benki ya NMB Tarime katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika viwanja vya Tarime sekondari ukiwa na lengo la kuboresha mahusiano

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

04/09/2026
01/09/2026
Tangazo kwa watumishi wa umma Halmashauri ya Mji Tarime πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
27/08/2026

Tangazo kwa watumishi wa umma Halmashauri ya Mji Tarime

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

27/08/2026

Maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Gowele wakati wa uzinduzi wa chanjo ya Polio awamu ya tatu Halmashauri ya Mji Tarime

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe Meja Edward Flowin Gowele leo amezindua rasmi zoezi la utoaji chanjo ya polio kwa watoto ch...
27/08/2026

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe Meja Edward Flowin Gowele leo amezindua rasmi zoezi la utoaji chanjo ya polio kwa watoto chini ya miaka kumi na kutoa wito kwa wazazi au walezi kuwapeleka watoto katika vituo vyote vya afya ili kupata chanjo hiyo

Zoezi hilo ni BURE na limeanza leo tarehe 27/08/2026 na litahitimishwa tarehe 31/08/2026

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Timu ya soka Halmashauri ya Mji Tarime imepata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Halamshauri ya Wilaya ya Kibaha kwenye mashinda...
22/08/2026

Timu ya soka Halmashauri ya Mji Tarime imepata ushindi wa 1 - 0 dhidi ya Halamshauri ya Wilaya ya Kibaha kwenye mashindano ya watumishi wa Serikali za Mitaa yanayoendelea Jijini Mbeya


πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŸοΈβš½2027
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Halmashauri ya Mji Tarime inatarajia kuanza kampeni ya utoaji wa chajo ya polio awamu ya tatu kwa watoto chini ya miaka ...
22/08/2026

Halmashauri ya Mji Tarime inatarajia kuanza kampeni ya utoaji wa chajo ya polio awamu ya tatu kwa watoto chini ya miaka 10 kuanzia tarehe 27/08/2026 hadi tarehe 30/08/2026

Akizungumza wakati wa kikao Afisa Tarawa nchage Bw. Stephano Kyabaroti ambaye alimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Tarime amewataka wazazi na walezi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo ili kuwaokoa na magonjwa mbalimbali

Zoezi hilo litafanyika katika vituo vyote vya afya na hakutakuwa na malipo yeyote

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

20/08/2026

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji Tarime Dkt. Yonam Charles ametoa wito kwa watumishi wa idara ya afya kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi ipasavyo

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Timu ya Handball (Ke) kutoka Halmashauri ya Mji Tarime imeendelea kupata ushindi katika mashindano ya SHIMISEMITA ambapo...
20/08/2026

Timu ya Handball (Ke) kutoka Halmashauri ya Mji Tarime imeendelea kupata ushindi katika mashindano ya SHIMISEMITA ambapo leo imewafunga Halmashauri ya Mji Tunduma 2 - 1

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Address

45 P. O BOX
Tarime

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Mji Tarime posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share