Rev.mdiujr

Rev.mdiujr Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rev.mdiujr, Urambo.

We are active in spiritual matters!No worries in Jesus Christ!We are moving on b'se we are very much  sure with God's pu...
01/08/2019

We are active in spiritual matters!
No worries in Jesus Christ!
We are moving on b'se we are very much sure with God's purpose within us!
All the time think about success not failure!
FOCOAA2™ in one way project inspiration via its page to all mankind wherever people are!
Thank you!
©Rev.Mdiujr®, FOCOAA2™.

Na Rev.Mdiujr katika kona huru.Karibu katika meza huru ya uwazi.OLE lKATIKA UCHAWI.Ezekieli 13:18"useme, Bwana MUNGU ase...
15/01/2019

Na Rev.Mdiujr katika kona huru.
Karibu katika meza huru ya uwazi.
OLE lKATIKA UCHAWI.
Ezekieli 13:18"useme, Bwana MUNGU asema hivi; Ole wao wanawake wale,washonao hirizi katika viungo vyote vya mikono, wawekao leso Juu ya vichwa vya kila kimo, ili wawinde roho za watu,je!Mtaziwinda roho za watu wangu,na kuzihifadhi hai roho zenu wenyewe?
Hili ni swali lililoulizwa na kuwahusu watu wa tabia hii ya KUVAA hirizi na kuwafunga watu wengine kichawi!
Hii ole ni mahsusi kwa watu wote walogao kwa mafundo yaani uchawi wa kunuiza kwa kutamka ili wengine wapatwe na MADHILA ama mambo mabaya hasa kwenye njia tunamopita, njia panda,kwenye mikusanyiko ya stendi,shuleni,hospitalini, sokoni nk haya ni maeneo wanayopendelea kuyatumia ili kuziwinda roho za watu wa MUNGU!
MUNGU atawakatilia mbali aina za watu hawa wafuatao WANAOFANYA kazi za uchawi na uvaaji wa hirizi KWENYE VIUNGO vya miili yao na kujitumainia ya kuwa ni kinga kwao:-
1)Alogaye kwa kupiga mafundo,
2)APANDISHAYE pepo,
3)Mchawi,
4)Awaombaye wafu.
Hawa ndiyo machukizo mbele za MUNGU kabisa!
Zaidi Kumbukumbu la Torati 18:11" wala mtu kwa ,wala mtu , wala , wala mtu ."
Kiukweli uchaw si jambo zuri, badilika k**a unajihusisha na uchawi!
Kutoka 22:18" "
Wachawi ni watu wabaya sana hawatakiwi kuishi kwa mujibu wa andiko hili la Kutoka!
Sidhani k**a unawapenda wachawi kanaweza kukuchekea mchana lakini usiku akawa ndiye anayekuja kukuwangia!
Wachawi mbadilike jamani kiyama kipo karibu!
©Rev.Mdiujr®, FOCOAA2™.

10/10/2018

FOCOAA2™ na mbio zake!
SOMO:-
"SIKU YA MWISHO NA MATOKEO YAKE."
ISAYA 4:1" , , na , ; ."
Zaidi
Isaya 2:17" ya ,na cha watu ; naye , yeye peke yake, siku hiyo."
Tena
Isaya 2:12&18" ya BWANA wa majeshi juu ya watu wote wenye kiburi na majivuno, na juu ya yote yaliyoinuka; nayo yatashushwa chini."
18. ."
Huu ndiyo ukweli unaoungwa mkono wazi online na Rev.Mdiujr kwa watu wote na kwa kila kabila na dini zote duniani na kwa wenye elimu za kila namna humu duniani wasikie wasije wakasingizia ya kwamba hawakuhubiriwa!
Asanteni!
©Rev.Mdiujr®, FOCOAA2™.

Address

Urambo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rev.mdiujr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Rev.mdiujr:

Share