UVCCM WADI YA ijtmai

UVCCM WADI YA ijtmai UMOJA WETU NDO NGUVU YETU����

23/01/2022
katbu wa uvccm wadi ya ijtmai ndugu yazid abdallah rashid akiwa katika kikao cha baraza la vijana wilaya ya diman
20/06/2021

katbu wa uvccm wadi ya ijtmai ndugu yazid abdallah rashid akiwa katika kikao cha baraza la vijana wilaya ya diman

tutaelewana tu
03/05/2021

tutaelewana tu

29/03/2021

go go go mama
mh samia suluhu hassan

asante kwa kila jambo vijana tunaamin umetuacha sehem salama r . i . p general
27/03/2021

asante kwa kila jambo vijana tunaamin umetuacha sehem salama
r . i . p general

04/03/2021

kikao muhimu sana kwa maendeleo ya vijana wadi ya ijtmai
tar 10.03.2021
tawi la m/kwerekwe B

20/01/2021

Kidumu chama cha Mapinduzi
Umoja wa vijana UVCCM
Wadi ya Ijitmai Mwanakwerekwe, tunayofuraha kukualika wewe mjumbe na mwanachama katika mkutano Maalum wa ndani katika tawi la Mwanakwerekwe "B" nyuma ya skuli ya Al Ihsan mkutano huo utafanyika siku ya Jumapili tarehe 24 saa kumi za jioni , Wahusika ni Vijana wote pamoja na viongozi wa matawi yote matatu ,Shime Vijana tuhamasishane kufika kwa wakati
NB Kijana aliekua hana Kitambulisho cha Mtanzania ama Cha Mzanzibar anatakiwa nae aje kwani kuna mambo muhim kuhusu watu hao.
Ahsanteni sana.
Imetolewa na
Idara ya Habari Maelezo wadi ya Ijitmai

shimon bondeni baharin ncha kavu vijana wameapa kufanya kaz ya chama cha mapinduz popote pale wakiongozwa na comrade yaz...
14/01/2021

shimon bondeni baharin ncha kavu vijana wameapa kufanya kaz ya chama cha mapinduz popote pale
wakiongozwa na comrade yazid

asante sana katibu yazid kwa kufanikisha hili tunajuahd mitano tenaaaaaa
10/01/2021

asante sana katibu yazid kwa kufanikisha hili tunajuahd mitano tenaaaaaa

Address

Ijtmai
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM WADI YA ijtmai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to UVCCM WADI YA ijtmai:

Share